Watumiaji wa DLS 2024 pitieni hapa tafadhali

Fundi kipara

Senior Member
Oct 27, 2019
116
241
Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!!

Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani.

Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
 
Akutajie username yake halafu nenda msearch ila na yeye awe online halafu mkipige....
Washa vpn kwanza kwa proxy server za SA
 
Kuna sehemu ya kuweka code mnacheza

Mnakubaliana code ni ipi inbid iwe Unique ili msije mkaingilian na mtu mwingine.. mfano CCM234 etc

Ukiwa sehemu ya kucheza live kuna sehemu imeandikwa Friend match itakutaka Uweke code utaweka utasearch na yeye mua huo inbid aweke code ambyo mmekubaliana asearch basi baada ya hapo mtaona vikosi vyenu mnaweza endela kucheza.. uzuri hili mbs unaweza cheza siku nzima ukatumia mbs 100 tuu
Screenshot_20240311-105624.png
 
View attachment 2940511
Shukran Mkuu Kama Kuna Trick Zingine Niachie Hapa
 
Back
Top Bottom