madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Execute

    Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  2. L

    Moyo wa kujitolea wa madaktari wa China wathaminiwa na wagonjwa waliotibiwa na kupona wa Tanzania

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China kutuma timu za madaktari katika nchi za Afrika kila baada ya miaka miwili. Kupitia ushirikiano huu...
  3. Roving Journalist

    Katavi: Madaktari Bingwa 18 kutoka Marekani kutua Hospitali ya Tanganyika

    Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure). Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
  4. BICHWA KOMWE -

    Madaktari wengi ni misukule walio hai

    Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara. Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka. Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala...
  5. M

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  6. Etugrul Bey

    Madaktari na Miandiko Yao!

    Around saa tatu usiku napata bahati ya kutembelea duka Moja la madawa,nyie wenyewe mnaita Sijui famasi kitu kama hicho. Nimesema bahati coz si kila Mtu hupata nafasi hiyo, Kama unaona sio bahati, ebu nikuulize mara ya mwisho kwenda famasi ni lini? Anyways Kama nilienda kununua dawa zangu...
  7. Mhafidhina07

    Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  8. tutafikatu

    Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  9. BICHWA KOMWE -

    Madaktari kuchati kazini: Ongezeko la machekibobu

    Japo madaktari wote ni makasuku wanaomeza madesa ya shule na kuyakariri jinsi yalivyo, lakini mnyonge mnyongeni, nchi hii walikuwepo madaktari bwana! Kuna madaktari ukiwaambia naumwa kichwa anakimbilia kukudunga chanjo ya FANSIDA, sijui ni kukariri ama ndivyo walivyofundishwa huko mashuleni...
  10. Kijana LOGICS

    Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

    Utafiti wangu binafsi. Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini. Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda. Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni. Wastani wa...
  11. mirindimo

    DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  12. DR Mambo Jambo

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  13. GENTAMYCINE

    Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

    Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60. Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo...
  14. S

    Kwanini madaktari hawa prescribe Headex kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake?

    Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS? Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
  15. BICHWA KOMWE -

    Tanzania hatuna Madaktari, tuna vishoka na makasuku

    Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo. Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza. Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la...
  16. L

    Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  17. BICHWA KOMWE -

    Kwanini Madaktari wengi wahuni?

    Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani? Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa. Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari! Sijui walifunzwa...
  18. Roving Journalist

    Madaktari Muhimbili wamtoa mtoto kipande cha plastiki kwenye mapafu alichoishi nacho miezi 23

    Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy. Kifaa hicho kinatumia mpira laini wenye kamera ya uchunguzi wa mapafu bila kuhitaji mgojwa...
Back
Top Bottom