Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa...
Najua utakua umekutana mjini na Mazda nyingi tu, especially CX5. Lakini, unajua kama Mazda family haijaishia hapo kuna mengine mazuri tu na yanafanya vizuri sokoni? Mfano huyu Mazda Axela...
.
Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama...
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing...
Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua?
Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi...
Nina gari aina ya van.
Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13.
Baadhi ya...
Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha...
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used.
Hii ni kwa gari ndogo tu.
Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina...
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na...
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa...
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.