Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
  • Sticky
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini...
65 Reactions
2K Replies
356K Views
  • Sticky
hapa nimeweka na nitakuwa naweka kwenye uzi huu wallpapers za jamiiforums (submitted by users) ambazo mtaweza kupamba desktop za computer zenu.... pia soon zitakuja za mobile as soon as poassible...
50 Reactions
88 Replies
77K Views
  • Sticky
All about Satellite tv, both FTA free to air and paytv available in Africa. Sat gear in use plus more....
84 Reactions
36K Replies
6M Views
  • Sticky
Hello Guys, Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread. SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna...
111 Reactions
6K Replies
432K Views
  • Sticky
Habari wakuu, Kutokana na jukwaa letu kuwa na mada nyingi nzuri japo nyingine za muda kidogo, mada maalum zinazoelezea matatizo ya kitu fulani lakini hazionekani kirahisi na kadhalika nimeomba...
20 Reactions
55 Replies
47K Views
  • Sticky
Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI Wakuu Habarini! Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii...
6 Reactions
418 Replies
132K Views
  • Sticky
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata...
50 Reactions
180 Replies
88K Views
  • Sticky
Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya...
20 Reactions
41 Replies
26K Views
Natuma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu[emoji116] Sidukuliwi kweli?
1 Reactions
0 Replies
34 Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
169 Reactions
9K Replies
1M Views
๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜‚! Natumai asilimia kubwa mtakuwa mmeshuhudia wimbi kubwa la watu wanaolalamika kufungiwa namba zao za Whatsapp kutokana na kutotumia Official Whatsapp App Watumiaji...
6 Reactions
25 Replies
947 Views
Nilinunua mini fuel pump kutoka china kwa malengo ya kuanzisha kituo kidogo cha uuzaji wa mafuta huku vijijini ninapofanyia kazi. Nimekumbana na tatizo la kwamba hii mashine ilitengenezwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
73 Views
Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
1 Reactions
11 Replies
113 Views
Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing...
1 Reactions
3 Replies
54 Views
www.nairaland.com/attachments/17840352_9wjx6wta400x400_jpegf0bcd5c4751999140748286dd2d4488d Alameen Karim Merali, from Tanzania, is a 21 Year Old boy who programs his own games and has them...
1 Reactions
4 Replies
387 Views
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa...
4 Reactions
87 Replies
3K Views
Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa. NB: Liwe wazo litakalo...
0 Reactions
8 Replies
159 Views
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna...
112 Reactions
2K Replies
351K Views
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kituโ€ฆ Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila...
3 Reactions
8 Replies
441 Views
Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
3 Reactions
8 Replies
181 Views
Habari za mda ndgu wana JF, Mm ni miongoni mwa watu naopenda sana maswala ya computer networking na nshaanza kujifunza installation and configuration l, lakin kitu kinachoniumiza kichwa ni nataka...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2. Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama...
30 Reactions
5K Replies
293K Views
Habari za mida, Naomba kusaidiwa router gani ni nzuri kwa matumizi ya taasisi ambayo inakuwa na watumiaji 500 kwa mara Moja wakiwa connected kwa wired na wireless? Na kipi natakiwa kukiangalia...
1 Reactions
16 Replies
313 Views
Wadau! Mambo ya teknolojia sio kila mtu anayajua. Ninataka kununua TV. Katika kufanya window shopping, jamaa mmoja ananiambia..hii TV (anaitaja brand) ni nzuri sana, halafu ni 4K UHD. Nikamuuliza...
4 Reactions
81 Replies
4K Views
Wakuu Habari za wakat huu... Nadhani mko poa leo naomba tujuzane ussd code's zinatufanya kupata huduma mbali mbali ya ktk mitandao tofauti tofauti tunayoitumia kila siku ktk maisha yetu ya kioa...
2 Reactions
18 Replies
25K Views
HABARI Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua...
7 Reactions
92 Replies
12K Views
Back
Top Bottom