mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  2. Tlaatlaah

    Uovu usipokemewa na kudhibitiwa mapema hukomaa na kuwa haki

    Ni jambo gani ovu au si zuri kimaadili au kiimani, ambalo unalifahamu halikukemewa na kudhibitiwa vilivyo na sasa hivi jambo hilo linatetewa kana kwamba ni haki, hali ya kuwa halifai kulingana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania 🐒 Hebu ongeza unalokumbuka na kuliona mie naona hili la...
  3. matunduizi

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi 1: Chakula Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
  4. GENTAMYCINE

    Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  5. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  6. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  7. matunduizi

    Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza. Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao. Hii...
  8. DR Mambo Jambo

    MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  9. Mpwayungu Village

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata...
  10. ndege JOHN

    Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  11. P

    Simba kama ni kufukuzana/kutimuana tungeanza mapema

    Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena. Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali). Tukirejea hapa nyumbani kwasababu...
  12. Zanzibar-ASP

    Katika hili waziri wa michezo (Ndumbaru) amekosea, ni hatari, mamlaka zirekebishe mapema

    Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani. Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
  13. GENTAMYCINE

    Kwa mlioko Uganda sasa ukilipwa Mshahara wa Ush za Uganda 9,000,000 siyo kwamba wanataka tu Kukua mapema kwa Starehe za Kufuru utakazofanya huko?

    Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
  14. K

    Uanzishwe mpango maalumu wa usafiri Kwa wanafunzi wa shule za Umma

    Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali na kubwa zaidi ujenzi wa Reli. Waziri, binafsi ninakukubali Kwa uchapakazi na...
  15. 1

    Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa. Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
  16. Nehemia Kilave

    Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

    Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa . Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
  17. U

    Nataka niwahi kuhudumiwa TRA na sina connection. Niende muda gani nisaidiwe mapema?

    Naombeni muongozo. Sina connection TRA. Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana. Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
  18. A

    Nikikutana na mwanamke anayehubiri 50/50 naona nijichepushe mapema

    Hapo hakutakuwa na ndoa ila kutakuwa na mtu anayeng'ang'ania vitu vilivyomzidi uwezo na mwisho mtatukanana tu. 50/50 wanayoipigania wanawake si ya majukumu bali ni kupata vitu kwa urahisi (bila kuvihangaikia).
  19. Fundi kipara

    Baraka Mpenja acha kuwaongopea watanzania...!! Tunakujua vizuri achana na dhambi hiyo mapema...!!

    Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!! Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye...
Back
Top Bottom