ugonjwa

  1. AmKATRINA

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa). Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
  2. Friedrich Nietzsche

    Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  3. proton pump

    Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  4. GENTAMYCINE

    Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  5. P

    Princess of Wales, Kate Middleton agundulika na ugonjwa wa Saratani

    Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao. Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje Habari...
  6. M

    Ugonjwa wa dada zetu

    Dada zetu huwaambii kitu kuhusu wanaume wenye miili hii ya kujengeka. Au nakosea dada zangu?
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Je, ni kweli ugonjwa wa Pangusa usipotibika uume unaweza kukatika na kudondoka chini?

    Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku. Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
  8. C

    PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
  9. BARD AI

    Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  10. BARD AI

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  11. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  12. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  13. C

    DOKEZO Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  14. D

    Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

    Salaam wakuu. Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili. Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa...
  15. J

    Ufahamu Ugonjwa wa Kifafa na namna bora ya Kuishi na Wagonjwa wa kifafa

    Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa. Kufahamu zaidi...
  16. kokudo

    Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

    Nahitaji rafiki wa kike angalau wa kuchati nae au calls niondokane na hii hali!
  17. Wizara ya Afya Tanzania

    Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  18. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa Shule za Mbagala Wanajiamini makusudi Ugonjwa wa Red Eyes ili watege kwenda Shuleni

    "Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
  19. S

    Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
Back
Top Bottom