Naomba ushauri tafadhali

Jan 26, 2019
67
86
Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume ukad!nda na hapo akanivisha k0nd0m na hapo nikamuingilia cha ajabu uume ukalegea ghafla daah yaan ukagoma kata na moyo ukawa hauna tena hamasa ya kuendelea .K
Kwa hapa naona wewe ndio unapima upepo upige watu
Haiwezekani bado unaamini eti labda ni kweli
Au sijui nitumie hili neno mshamba?

isai kolojia nilikuwa naona kivingne kabsa harafu mm pia ni mgeni kwa hili la kufanya mapenzi(bikra).sijawahi kufanya. Swali je, hili tatzo nilitatueje jamani wanaume wenzangu au kuna vitu gan nitumie ili niongeze hisia daah.
 
Huu ni mwezi mtukufu

Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume ukad!nda na hapo akanivisha k0nd0m na hapo nikamuingilia cha ajabu uume ukalegea ghafla daah yaan ukagoma kata na moyo ukawa hauna tena hamasa ya kuendelea .K

isai kolojia nilikuwa naona kivingne kabsa harafu mm pia ni mgeni kwa hili la kufanya mapenzi(bikra).sijawahi kufanya. Swali je, hili tatzo nilitatueje jamani wanaume wenzangu au kuna vitu gan nitumie ili niongeze hisia daah.

Pole Sana Ila ungejitahidi kupambania kujitambua baada ya hapo ndo mapenzi yafate
 
Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume ukad!nda na hapo akanivisha k0nd0m na hapo nikamuingilia cha ajabu uume ukalegea ghafla daah yaan ukagoma kata na moyo ukawa hauna tena hamasa ya kuendelea .K

isai kolojia nilikuwa naona kivingne kabsa harafu mm pia ni mgeni kwa hili la kufanya mapenzi(bikra).sijawahi kufanya. Swali je, hili tatzo nilitatueje jamani wanaume wenzangu au kuna vitu gan nitumie ili niongeze hisia daah.
images (8).jpeg
 
😂😂😂😂 Pole sana kijana , inaonyesha ulikuwa na wenge sana , punguza wenge omba mechi tena..
 
Ona JF ya siku hizi ilivyo, mtu kaleta tatizo lake maskiini akiamini atapata msaada ameishia kupata kejeli..

Sasa hapa mmesaidia mlengwa ama mmemuongezea msongo wa mawazo, kama mtu huna kitu chema cha kumuambia 'muhanga', ni vyema ukakaa tu kimya na huo ndiyo uungwana..
 
Back
Top Bottom