jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane. Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa. Miongoni...
  2. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  3. C

    Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  4. F

    Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

    Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
  5. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani. Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
  6. PAZIA 3

    Jina "Machinga" chimbuko lake ni nini?

    Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie🙏🙏🙏🙏
  7. PAZIA 3

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie.
  8. Edger Ezekiel

    Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  9. GoldDhahabu

    Kila mtu anataka atambulike kuwa ni "somebody"

    Wanasema, mpe mbwa mzee jina zuri! Anaweza asiwe na uwezo wa kuwinda, lakini kutokana na kupewa jina zuri, atajitahudi kuliishi hilo jina. Mwaka Jana, nikiwa mkoa fulani, nilitaka kumpa mzee mmoja kikazi fulani sehemu nilikokuwa nikifanyia shughuli zangu. Kusudio langu halikufanikiwa kwa sababu...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Benno Kakolanya hakutoroka kambini. Amesingiziwa na kuchafuliwa jina

    Baada ya klabu ya Singida Big Stars kutoa taarifa kuwa, mlinda mlango wake, Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu ikikabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Yanga Sc, Beno amekanusha taarifa hizo na kusema kamwe hawezi kutoroka kambini. Wasafi Media imemtafuta Beno Kakolanya na kutaka kujua...
  11. Mhaya

    CHALLENGE: Taja nchi ya Afrika bila kutaja jina lake

    Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka na kuiba meli na vitu vilivyomo, au kuteka wafanya kazi na meli yao hili wadai malipo ya kuachilia...
  12. WeedLiquorz

    Kifuatacho ni kubadilishiwa tu jina la Katiba

    Salaam, wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na kuiita "KATIBA MPYA YA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2024" Na kwa wingi wa Watanzania...
  13. S

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
  14. LIKUD

    Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  15. Inside10

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi. Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema: “Tunapenda kuvitaarifu...
  16. Mtini

    Benchika kocha jina, muda utaongea

    Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
  17. Expensive life

    Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki. Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
  18. G

    Nakutahadharisha ewe ndugu yangu unayejiita jasiri, epuka kulitaja jina lile

    Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki la huyu wa sasa. Ukataka kujivika ushofeli na umwamba kwa kuyaazima matendo na maneno ya lile jina...
  19. Kambi ya Fisi

    Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
Back
Top Bottom