mtu

  1. mdukuzi

    Sijawahi kusikia mtu akisema Kibu Denis snajua mpira,bali husema anajituma sana

    Hii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma? Kibu ana kipaji au anajituma Utaambiwa anajituma
  2. kimsboy

    Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

    Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
  3. BOB LUSE

    Hakuna mtu asiye na Mapungufu, tusilaani Viongozi

    Nimeona Viongozi wa awamu mbalimbali nchini,kwenye kada tofauti,kasoro mkoloni.katika medani ya siasa na uongozi maeneo mbalimbali, wengi wao wamepata umaarufu baada ya kuondoka madarakani,walipigwa Kwa maneno magumu ya kuwalalamikiwa na kuwalaani wakiwa madarakani. Kila mtu ni malaika akiwa...
  4. rikiboy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  5. dr namugari

    Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
  6. masai dada

    Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
  7. B

    Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
  8. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 45. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  9. Erythrocyte

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
  10. ndege JOHN

    Ni vipengele gani vya kimkataba vinapaswa kuwekwa unapompa mtu asimamie biashara yako Ili upate faida?

    Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
  11. Dalton elijah

    Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha kuwa mtu mmoja anakunywa lita 10.4 kwa mwaka ambapo awali mtu mmoja alikuwa anakunywa lita 9.1...
  12. C

    NADHARIA Mtu akikung'ata ukapaka mavi ya kuku meno yake yanaoza

    Wakuu, Kipindi tulipokuwa watoto nilikuwa nasikia hii sana kwamba uking'atwa na mtu ukienda kupaka kinyesi cha kuku basi yule aliyekung'ata meno yake yanaoza yote! Ni kweli hii au ilikuwa njia ya kufanya watoto wasiwe wachokozi kwa wengine?
  13. C

    MPYA Ni kweli mtu akikung'ata akiwa na hasira anakuwa anatoa sumu?

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata wakati akiwa na hasira basi anatengeneza sumu kama vilivyokuwa kwa wanyama (kama nyoka) na hivyo inaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na jinsi hasira yake ilivyo kali? Hii ni kweli wataalam?
  14. RoadLofa

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Hivi hii kauli na agizo huwa unalichukuliaje na unajisikiaje!? Unapoongea na mtu kwenye simu kisha anakupa hilo agizo.
  15. C

    Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

    Habari wa JF wenzangu, juzi kati nilimuona mtangazaji mmoja wa Wasafi FM mwenye ualbino(simkumbuki jina) alikuwa akizungumza na Makonda akadai yeye anapinga watu wenye ualbino kuitwa walemavu kwa sababu tu ya ngozi yao labda awe na ulemavu mwingine tofauti na akasema yeye anashangaa aina hiyo ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  17. Erythrocyte

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Ifike wakati sasa Makonda anyamaze au anyamazishwe , hawezi kuendelea kudanganya umma halafu tukamkalia Kimya , Uongo wake ufike mwisho , na aache kutafuta huruma . Ameendelea kusema Uongo huko Arusha kwamba aligombana na Wauza madawa ya kulevya na kwamba amenusurika kuuawa mara kadhaa , sasa...
  18. Mwanamke wa mithali 31

    Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
Back
Top Bottom