simba

  1. BICHWA KOMWE -

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu? Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana! Sijui ni...
  2. Suley2019

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ Kikosi cha Simba kinachoanza Goool 25 Fred anaitanguliza Simba Chama ameumia anatoka anaingia Miquisone
  3. Pdidy

    Simba wa kwenye logo kakimbia kachoka na mateso

    Hatari SIMBA WA KWENYE LOGOO KAKIMBIA KACHOKA NA MATESO.
  4. Allen Kilewella

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa. Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini? Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa? Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu? Je, Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki? Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu...
  5. Masikio Masikio

    Tetesi viongozi na wazee wa simba wamuomba Mohamed dewji abaki asiondoke kama mwekezaji

    Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
  6. SAYVILLE

    Benchikha hana meno hapo Simba, hajazoea mpira wa kubembelezana

    Benchikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya wachezaji aliopewa aende nao vitani. Pili nikaja kuongelea athari za kurithishwa migogoro kati ya...
  7. N

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  8. Its Pancho

    Idara ya simba nayo imekufa, team imeishiwa.

    Wakuu Hii team ya walevi na wanywa wanzuki yaani inatia huruma Mitandaoni mashabiki hawana Furaha kabisa yaani kila post admin atakayotoa basi wanampopoa tu jamani ..! Kilichobaki ni admin kuigeuza page imekuwa ya kuwish watu happy birthday tu ... Yaani simba ya kumuwish Happy birthday...
  9. GENTAMYCINE

    Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    "Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: East Africa Radio Ukiwa Mpumbavu...
  10. Suley2019

    Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili. Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na...
  11. Fundi kipara

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  12. P

    Ni muda muafaka sasa Viongozi wa Simba kuwasikiliza mashabiki

    Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali ilizopitia chini ya uwongozi wenu. Mmefanya mengi mazuri ambayo yanatakiwa kubaki kama kumbukumbu nzuri na...
  13. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  14. Pdidy

    Ushirikina umeiponza Simba

    Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes Nimemchukua tukaendaa kumchukua mganga wa Nampula ambae aliisaidia Yanga kushinda kwa waarabu 4_0. Mmmh nkamwambia...
  15. kalisheshe

    Ushauri kwa simba yangu

    Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee. Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe hasa na viongozi walioko kwenye maamuzi ya timu, ushauri wenyewe ni kuwa KUNA WACHEZAJI WENGI SANA...
  16. THE FIRST BORN

    Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  17. jingalao

    Yanga waionea huruma Simba isisambaratike

    Hii ni historia nyingine inaandikwa baada ya ile ya miaka iliyopita ambapo yanga walijifungisha ili simba isishuke daraja.leo hii Yanga imeamua kucheza game ya kistaarabu ili Simba isihaibike na kusambaratika kwani Simba ni mtani wa jadi. 2-1 ni fair game
  18. MTAZAMO

    Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
Back
Top Bottom