nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. Astrum27

    Baada ya miaka mingi kupita, leo ndiyo naona athari ya Nyota ndogo

    Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo.. "Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii. Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo. Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii... Oooh achana nao...
  2. Friedrich Nietzsche

    Nahisi huyu mwanamke nyota yake inaning’arisha

    Pamoja na mabadiliko ya life style kubadilika kutokana na vimbwanga vya huyu mwanamke vidogo vidogo lakin kuna kitu kipo tofauti. Tangu nimemuoa naona Kanyota kana ng’aa aisee Riziki inaonekana.Vimichongo vimeongezeka had nashangaa!! Nahisi huyu mwanamke amekuja na nyooota.. Kipindi naoa Sikua...
  3. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  4. sinaham

    Watu wenye nyota zao. Jokate tangu nimfahamu anasoma hawajahi kuwa down

    Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaa anawika ananoga proud proud 👏 kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo. Ninavyompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
  5. Meneja Wa Makampuni

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu. Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti. Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa. Anajua kucheza na nafasi yake. Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
  6. Kaka yake shetani

    Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

    Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani. Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia: Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe...
  7. DR HAYA LAND

    Vijana msipoacha roho mbaya hamateweza kutoboa ,mtajitafuta hadi kwenye nyota

    Siri ya mafanikio ni kuwa positive na kuwa work smart na kufurahia pale wenzio wanapofanikiwa.
  8. Damaso

    Luis Armstrong: Musicians do not retire. They just stop playing.

    Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi Louis Daniel Armstrong maarufu kama Satchmo ama Pops, moja ya wanamuziki wakubwa waliotumia vyema...
  9. GENTAMYCINE

    Kama unaenda Taifa Kwa Mkapa leo sema utakaa wapi / jukwaa gani ili uoshe Nyota kwa kukaa Jirani na GENTAMYCINE

    Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
  10. Kiboko ya Jiwe

    Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  11. R

    Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

    Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu. Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
  12. M

    Nyota ya Misso Misondo inaendelea kung'aa Kimataifa

    Nyota ya Kikundi cha Burudani Misso Misondo inaendelea kung'aa kimataifa baada ya kupostiwa na Msanii mkubwa wa nchini Marekani Chris Brown. Hii ni hatua kubwa kwao kama kikundi cha Burudani, kwani post hii ya Breezy inaongeza Milage kubwa sana ya kuheshimiwa kwa kundi lao kiburudani. Ni...
  13. Magical power

    Nasaha za kila nyota wiki hizi

    NASAHA ZA KILA NYOTA WIKI HIZI. PUNDA ni vyema kua na tahadhari hususani kwa wale unaowaamini. Usifanye kazi kimazoea itakukost. NG'OMBE hiki ni kipindi cha majaribu sana kwako, kazana kwa maombi na sala. MAPACHA ni wakati sahihi ya wewe kufanya maamuzi, chagua mmoja anaekufaa achana na...
  14. Ibun Sirin

    Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati ni jambo au matukio yasiyowezekana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Kwasisi wanaadamu matukio chanya na hasi yanaweza kutokea wakati wowote, kwa sababu ya michakato ya asili na isiyo ya nasibu, na kwamba hata matukio yasiyowezekana yanaweza kutokea kwa bahati nasibu. Kwa mtazamo huu...
  15. P

    Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

    Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua. Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine...
  16. Magical power

    Nyota na masuala ya kidini (UDINI)

    NYOTA NA MASUALA YA KIDINI ( UDINI ) 1. Hawa kiukweli ni watu wanaoegemea upande wa dini yao tu. Yaani hufuata sana dini yao tu. Na wapo tayari kuilinda dini hio ILA SASA kinachofanya waheshimu dini na mila za imani zingine ni maslahi yao binafsi. Hawa wamegundua ukiweka sana misimamo...
  17. Carlos The Jackal

    Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili...
  18. passion_amo1

    Nyota njema ilianza kuonekana mapema kwa rafiki yangu .

    Ndugu zangu wana JF nafikiri wengi tulipata kusikia Msemo wa nyota njema huanza kuonekana mapema. Siku za nyuma kidogo nilileta uzi nilivyokutana na mwalimu wangu m- polish alikuwa akinifundisha biblia, sasa pale shuleni nilikuwa na rafiki tulikuwa tunafananishwa sura kasoro tu yeye alinizidi...
  19. Its Pancho

    Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  20. LIKUD

    Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
Back
Top Bottom