msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito. Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
  2. Mtemi mpambalioto

    Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  3. P

    Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
  4. Ojuolegbha

    Mama Chatanda ashiriki msiba wa askofu Gachuma

    Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Ndg. Issa Haji ussi Gavu Katibu wa NEC- Oganaizesheni na mlezi wa Jumuiya za CCM pamoja na Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi wameweka shada la Maua katika kabuli la Hayati Askofu Fransica Mwita Gachuma mke wa Ndg...
  5. Erythrocyte

    Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

    Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
  6. Kaka yake shetani

    Tofauti ya msiba wa maskini na tajiri

    Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri. Misiba ya maskini ilivyo: Ucheleweshi sababu unapoteza mda huna ulichokiacha hapa, utazikwa haraka na kama msiba...
  7. Kiranja Mkuu

    Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  8. GUSSIE

    Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

    Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  10. M

    Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  12. M

    Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

    Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X", "WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia...
  13. S

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu. Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni...
  14. Msanii

    Huu ukaaji kwenye msiba wa Lowassa umepangwa kwa kuzingatia nini?

    Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa. MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo...
  15. Masikio Masikio

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo...
  16. M

    Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

    Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri...
  17. U

    Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

    Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
  18. M

    Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  19. Erythrocyte

    Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

    Huyu ni kiongozi wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao Steve Nyerere, akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Lowassa, huku akilindwa na Mgambo wa UVCCM, wanaofahamika kama GreenGuard.
Back
Top Bottom