kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  2. MK254

    Mbunge aibua hoja Zanzibar kwamba Watanzania bara watakua wanatumia paspoti kuingia kisiwani

    Hii hoja ikipita, kila Mtanzania kutokea bara atapaswa kuonwa kama mgeni kutokea mataifa mengine kila anapoingia Zanzibar. Mara ya mwisho mimi kutembelea hicho kisiwa niliona wageni wa mataifa mengine wanaotokea bara kuingia Zanzibar ilikua inabidi wapitie kwanza uhamiaji kama ambao wanaingia...
  3. W

    Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine...
  4. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  5. Pdidy

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    Ndugu zangu za ASBH, najua wiki imeanza na kuna watu Ijumaa na Jumamosi wanatarajia kuoa. Vyema, nkasema niwashauri bado wana nafasi ya maamuzi hizi siku 4-5 zilizobaki. Kama unahisi hauko tayari kuingia kwenye ndoa, usiingie. Huu ni ushauri wa bure... kwenye ndoa hakuna red carpet tu, kuna na...
  6. KikulachoChako

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi...
  7. U

    Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  8. D

    Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya Kuna ishara itatokea kwenye marais waliofariki na chama flani cha siasa; ishara hizo ni za ajabu ila zikitokea jua...
  9. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  10. Mpwayungu Village

    Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama. Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA 🇺🇸 Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na...
  11. MK254

    Israel yakusanya wanajeshi kwa ajili ya kuingia Rafah

    Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah operation. While speaking at the IDF's Southern Command base, he stated, "The withdrawal of the troops...
  12. Tankile

    Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  13. THE FIRST BORN

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie. Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa. Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga. Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
  14. DR Mambo Jambo

    MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  15. Zouzoutz

    Faida za Yanga na Simba kuingia nusu fainali

    Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54 Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
  16. Escotter20

    Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  17. mgt software

    CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  18. R

    Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

    Shalom,Salaam!! Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo, Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea uchaguzi, muda uliopo utamtosha kupata team Imara ya kuaminika kuipa ushindi timu yake Kwa haki? Na...
  19. Trainee

    Je, unajua ni kwanini huruhusiwi kuingia au unaingia kwa masharti yasiyo ya kawaida maeneo ya kitalii kama Antarctica na mfano wake?

    Habari, Serikali za mataifa mengi duniani zina tabia ya kuweka mazuio na masharti kwenye baadhi ya mambo halafu sababu ya zuio na masharti inafichwa Kwa mfano kwenye nyingi ya sehemu za vivutio vya utalii hapa nchini utakuta kumewekwa visheria vya ajabu ajabu ukitaka kuingia mpaka kutoka...
Back
Top Bottom