kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JanguKamaJangu

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae...
  2. Litro

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha. Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana. Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa...
  3. J

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
  4. T

    Luhaga Mpina ataka Uchunguzi huru Kifo Cha Magufuli ufanyike.

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameshauri Bunge liunde Tume Huru itakayochunguza Kifo alichodai kina utata cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Hayati John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. “Baada ya kusikiliza maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo...
  5. Influenza

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  6. mdukuzi

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  7. Yoda

    Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

    Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali? Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
  8. Richard

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  9. R

    Hii ni miaka 40 ya kumbukizi ya kifo cha Sokoine au ni kumbukizi ya miaka 40 ya usaliti na kujipendekeza?

    Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine? Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu Nyerere? Kwanini kuanzia viongozi wa dini hadi wanasiasa wanamtisha Mhe. Rais kwa kuonyesha anao...
  10. kilimasera

    Matukio ya Ushoga duniani

    Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba kuwa ushoga ni dhambi na wanaume waache kujigeuza wanawake. Hasira zilitanda miongoni mwa mashoga na...
  11. Mohamed Said

    Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Sokoine

    Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara. Mali hii aliitumia bila choyo wala khiyana...
  12. Mjanja M1

    Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  13. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  14. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  15. JanguKamaJangu

    ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  16. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  17. U

    Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  18. Alwaz

    Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada. Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
  19. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  20. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
Back
Top Bottom