watangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  2. Jane Lowassa

    Watangazaji Azam hawajui kiingereza?

    Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi. Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani" Ni aibu kwa kweli. Jipigeni...
  3. M

    Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  4. Goodluck Mchika

    Watangazaji wa Azamtv

    Nauliza watangazaji wa Azamtv kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara , ina maana wachezaji nje ya Simba na Yanga awawezi kupambwa kwa wanachokifanya wakiwa wanashambulia hizo timu mbili kama wao wakiwa wanashambuliwa.
  5. ndege JOHN

    Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  6. D

    PJ na Hando ni watangazaji wenye I.Q kubwa sana

    Aise kwangu mimi PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini, ● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi ● Wachambuzi wazuri hasa wa habari ngumu za kisiasa ● Pia wana kaliba km ya uongozi hivi
  7. GENTAMYCINE

    Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  8. JanguKamaJangu

    Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  9. GENTAMYCINE

    Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  10. Hakuna anayejali

    Ole wenu ninyi watangazaji wa mpira

    Ndiyo mnaongoza kuharibu majina ya wachezaji,Feisal Salum Abdalah mkamuita Feitoto mkaona haitoshi sasa Baraka Mpenja anamuita Feisal Failasufi.👉badilikeni acheni ulimbukeni usiyo na tija.
  11. GENTAMYCINE

    Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  13. R

    Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  14. SAYVILLE

    AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  15. NetMaster

    Hii ndio orodha ya wasanii, maproducer, watangazaji wababe kwenye Bongo Flava, kichapo nje nje!!

    Tutawazungumzia kwa kigezo cha kipindi wakiwa kwenye ubora wao, Hata Tyson huwezi kumjudge ubora wake kwa sasa maana umri umeshaenda, hayupo active kama zamani. 1. DUDU BAYA chuma kilichokuwa kinasumbua kikiogopwa na kuogopeka kwa wasanii na KWA MAPROMOTAR NA MA D. J MARADIO PRISENTER NI OIL...
  16. Leak

    Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

    Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania! Maswali makubwa mawili yakikuwa! 1. Mkataba ni wa muda gani? 2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu? Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
  17. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  18. Melki the Storyteller

    Ikatokea wanagawa tuzo kwa wasanii / watangazaji bora. Ungempendekeza yupi?

    Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili? Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
  19. SOVIET UNION

    Idhaa za Kiswahili zimejaa Watangazaji wa Kenya, ni sawa kabisa!

    Kama watangazaji wetu ni aina ya mtu kama Kitenge, ni kwa nini Idhaa za Kiswahili zisichukue Wakenya? Naona Maulid Kitenge anafanya project ya kutoka Kituo A kwenda kituo B na kurudi kituo A tena, sidhani kama kuna mtangazaji anawaza kutoka Local na kwenda kutangaza International. Kwa sasa...
  20. Mohammed wa 5

    Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

    Hope wazima wana JF, Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
Back
Top Bottom