forbes

Forbes () is an American business magazine. Published bi-weekly, it features original articles on finance, industry, investing, and marketing topics. Forbes also reports on related subjects such as technology, communications, science, politics, and law. Its headquarters is located in Jersey City, New Jersey. Primary competitors in the national business magazine category include Fortune and Bloomberg Businessweek. The magazine is well known for its lists and rankings, including of the richest Americans (the Forbes 400), of the world's top companies (the Forbes Global 2000), and The World's Billionaires. The motto of Forbes magazine is "The Capitalist Tool". Its chair and editor-in-chief is Steve Forbes, and its CEO is Mike Federle. In 2014, it was sold to a Hong Kong-based investment group, Integrated Whale Media Investments.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Elon Musk arejea tena Top 2 ya Mabilionea wa Forbes duniani

    What a year it’s been for the planet’s billionaires, whose fortunes continue to swell as global stock markets shrug off war, political unrest and lingering inflation. There are now more billionaires than ever: 2,781 in all, 141 more than last year and 26 more than the record set in 2021...
  2. BARD AI

    Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    FORBES: 15 most dangerous cities in the US

    Forbes ya orodhesha miji hatari zaidi uko US. Taja miji mitatu hatari kwenye Nchi yako??!! 🤔
  4. BARD AI

    Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

    Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
  5. BARD AI

    Watanzania Jessica Mshama na Isaack Buhiye watajwa Forbes Under 30

    Jarida la Forbes katika toleo lake la 9 limetoa orodha ya ‘FORBES AFRICA 30 Under 30’ Vijana 30 wenye ushawishi mkubwa Barani Africa kwenye Sekta za Ujasiriamali, Uvumbuzi na Uongozi ambao unakuza uchumi na unaongoza mustakabali wa Afrika ambapo Tanzania imeingiza Vijana wawili akiwemo Mtanzania...
  6. BARD AI

    Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni). Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
  7. BARD AI

    FORBES: Samsung yatajwa kuwa 'Mwajiri Bora Duniani'

    Samsung imetajwa kuwa ya kwanza kwenye orodha ya Forbes ya ‘Waajiri Bora Duniani 2022’ kwa mwaka wa tatu mfululizo. Kwa ushirikiano na Statista, Forbes ilifanya utafiti kwa zaidi ya wafanyakazi 150,000 katika makampuni 800 duniani kote, yakiwemo makampuni kutoka Uingereza, Ujerumani, Marekani...
  8. BARD AI

    Forbes Africa yataja wasanii 20 bora Afrika

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 20 bora kutoka bara la Afrika. Kwa mujibu wa jarida hilo, wasanii wa Afrika Magharibi na Kusini mwa Afrika wanaongoza katika orodha ya wasanii wakubwa barani humo huku Jarida hilo likitumia wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify na jumla ya kutazamwa...
  9. Hisha Sorel

    Let's Talk Forbes List: Are Billionaires the Essence of wealth? Are the materials associated with wealth inherently valuable?

    In summary: most items, fetishized by popular publications and its readers do not have universal value as the articles suggest. Instead, they reflect perspective of their holders who have imposed it upon the masses. The alignment of perception is often achieved by inflicting suffering of which...
  10. MSAGA SUMU

    Rihanna ategemea kupata mtoto wa kwanza na mwanamuziki Asap Rocky

    Rihanna na A$AP Rocky ni mojawapo ya couple kali zaidi katika tasnia ya muziki! Rihanna amekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake A$AP Rocky kwa muda mrefu, kwa siri kabla ya kuthibitisha kuwa wapenzi rasmi mnamo Mei 2021! Akiongea na GQ, rapper huyo mwenye umri wa miaka 33 alimwita mpenzi wake...
  11. Kasomi

    Forbes Jarida Maarufu kwa Takwimu za Mali (Utajiri)

    Forbes ni gazeti la kibiashara la Marekani ambalo huchapishwa mara mbili kwa wiki, huku likiangazia masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Forbes pia humulika mambo yanayoendana na hayo, yakiwamo masuala ya teknolojia, mawasiliano, sayansi, siasa na sheria. Washindani wao katika...
  12. Kasomi

    Top 10 Orodha ya Matajiri wakubwa Duniani 2022

    Jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya matajiri duniani wametoa orodha ya matajiri wapya dunia. Hii ni orodha ya matajiri 10 kwa mwaka 2022. 1. Elon Musk mmliki wa kampuni ya tesla na spaceX utajiri wake ni $239.2B lakini ameshuka kwa kiasi cha shilingi $1.9B sawa na asilimia 0.79% ya utajiri...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Forbes: Mo Dewji tajiri wa 15 Afrika

    Tanzanian billionaire and former Member of Parliament Mohammed Dewji popularly known as Mo Dewji continues to hold the title as the richest man in the country as well as featuring among the wealthiest people in Africa. In the latest Forbes list of the continent’s dollar billionaires in 2022...
  14. Replica

    Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika. Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana...
  15. Kasomi

    Forbes: Rais Samia na aliyekuwa mke wa Jeff Bezos, Mackenzie Scott miongoni mwa wanawake 100 wenye uwezo mkubwa duniani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wanawake wenye ushawishi mkubwa walioorodheshwa katika orodha ya jarida la Forbes la wanawake wenye uwezo mkubwa duniani 2021. Suluhu ambaye alimrithi mtangaluzi wake hayati John Pombe Magufuli mapema mwaka huu ameshirikishwa katika orodha...
  16. Cannabis

    Forbes yamtaja Rais Samia kuwa mmoja wa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kama mmoja wa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2021. Orodha hiyo si kwamba inajumuisha wanawake wenye fedha au madaraka, bali mwanamke aliyetumia kipaji chake, sauti au jukwaa kufanya jambo lenye manufaa kwa...
  17. beth

    Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  18. Emmanuel180

    Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

    Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230. Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad...
  19. C

    Mo Dewji kwenye cover la Forbes Africa la mwezi huu

    Yule mwanamichezo, tajiri"msela" anayejichanganya na watu anayeipenda team yake na kusababisha ndani ya miaka hi minne kutisha Africa hadi kuiwezesha nchi ya Tanzania kuingiza teams 4 mara mbili amewekwa tena kwenye cover la Forbes Africa sambamba na tajiri mwenzake Dangote Tajiri huyo ambaye...
  20. Ben Zen Tarot

    Matajiri wakubwa wanapotalakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko awali

    Niwape siri kuhusu matajiri wakubwa! Kwani matajiri wakubwa wanapo talakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko walivo kuwepo mwanzoni! Mimi nitapenda kueleza kisa kimoja cha Jeff Bezos CEO wa Amazon. Huyu jamaa baada ya ndoa kudumu miaka 25 utajiri wake ulikuwa upo wa kawaida kwenye list ya...
Back
Top Bottom