kumsaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SteveJr99

    Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
  2. Ngungenge

    Kardinali Pengo, unampigania Sana Makonda lakini kama huwezi kumsaidia akaacha tabia yake ya ufitini, uongo na kiburi basi kikombe hicho kiwe juu yako

    Ni kweli unampenda Sana Makonda, na hii huwa inatokea mtu fulani kumpenda mtu fulani automatic, inatokana na ku share spiritual rim, njozi na maono ya pamoja. Ni kweli Makonda kwako ni kijana mtiifu na mnyenyekevu amekuwa hivyo tangu akiwa Mkuu wa Mkoa, alipotoka, alipokuwa mwenezi na sasa Mkuu...
  3. Chizi Maarifa

    Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  4. Mwachiluwi

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua. Nini kifanyike?
  5. Heci

    Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  6. U

    Sheria za kikristo zinaweza kumsaidia mwanaume anayehitaji watoto bila kuchepuka baada ya kuoa mke aliethibitishwa hawezi kuzaa?

    Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika. Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi...
  7. J

    UWT yasimama kidete kumsaidia ndugu. Maria ngoda katika kesi inayomkabili

    UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA IRINGA Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda (MCC) imeendelea kusimama kidete katika kuhakikisha inamsaidia Mwanamama Maria Ngoda...
  8. R

    Mwigulu awaengua Waziri Mkuu na Naibu waziri Mkuu kwenye safu ya kumsaidia Rais katika uchaguzi 2025. Je, amefanya kwa bahati mbaya au amekusudia?

    Kupitia ukurasa wa X Mhe. Mwigulu nchemba ametaja safu itakayoongoza mchuano wa uchaguzi 2025. Amewataja Mh.SSH, Akamtaja Kinana, Mzee Mpango na Nchimbi huku yeye akijitabiria kuwa kiungo mchezeshaji. Katika safu hii Waziri Mkuu anaonekana kutokupewa nafasi na Mwigulu kama ilivyo kwa Naibu...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

    Kichwa cha habari kinahusika. Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada. Hawana cha kukupa zaidi ya UTI Hawana shukrani Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
  10. Pascal Mayalla

    Ili kuisaidia nchi na kumsaidia Rais Samia, je tumfanyie an honest MTR based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo to determine tunapokwenda?

    Wanabodi, Angalizo la Kuchanganya Lugha Naomba kuanza na angalizo la kuchanganya lugha, JF ilipoanzishwa, it was meant to an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf. Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na...
  11. thatHUMBLEguy

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  12. UMUGHAKA

    Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado atakudondoshea zigo la lawama!. Mtanzania ndiye mtu pekee duniani asiyethamini jasho la mtu. 1...
  13. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  14. benzemah

    UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  15. sky soldier

    Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  16. BARD AI

    Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
  17. BARD AI

    Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  18. Intelligent businessman

    Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

    Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x). Ndugu yetu huyu (x) amekuwa na tabia ya kulalamika kuwa Hali ni ngumu, na hivyo tumfanyie mpango wa yeye kupata ajira au kazi yotote itakayo msaidia...
  19. Allen Kilewella

    Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
Back
Top Bottom