spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane. Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa. Miongoni...
  2. The Sheriff

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  3. BARD AI

    Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  4. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  5. B

    Afrika Kusini: Spika wa Bunge ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa

    Update: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula (67) amejisalimisha kwa Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku moja baada ya kujiuzulu Nafasi ya Uspika pamoja na Kiti cha Ubunge kutokana na tuhuma za ufisadi ......... Spika wa bunge la Afrika Kusini...
  6. Mganguzi

    Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

    Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu. Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
  7. M

    Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

    Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
  8. T

    John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19. Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri...
  9. Zanzibar-ASP

    Maajabu! Wakati serikali inasema mgawo wa umeme lazima uishe Machi, Spika anaomba uishe Juni.

    Siku ya jana, serikali bungeni iliamua kuweka msisitizo wa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwaka jana wa mgawo wa umeme kwisha kabisa kabisa mwezi machi, 2024. Naibu wa waziri wa Nishati aliweka bayana kuwa mpaka kufikia mwezi machi, 2024 hakutakuwa na mgawo wa umeme tena! Sasa maajabu yakaibuka...
  10. L

    Bunge laitaka Serikali kumaliza mgao wa umeme ifikapo mwezi wa sita Mwaka huu

    Ndugu zangu Watanzania, Bunge letu tukufu chini ya uongozi imara wa Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na Rais wa umoja wa mabunge Duniani, umeipa maagizo mazito serikali bya kuhakikisha kuwa ifikapo mwezi wa sita Mwaka huu basi tatizo na changamoto ya mgao wa umeme inafika...
  11. Suley2019

    Spika Tulia: Bunge linawaipa Wizara ya Nishati mpaka mwezi Juni kumaliza mgawo

    Spika Tulia Akson aipa Wizara ya Nishati mpaka mwezi Juni 2024 kuhakikisha wanamaliza kabisa mgawo wa umeme. Akiwa bungeni alipokuwa anaelezea jambo hilo Spika Tulia anasema "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi...
  12. M

    Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  13. Erythrocyte

    Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

    Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu kama COVID 19 , ambao amedai wamewekwa bungeni humo kinyume cha sheria Mnyika amedai kwamba ni vema...
  14. M

    Spika Tulia: Tusijadili masuala ya vyoo Bungeni

    "Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na hakuna sababu ya kujadili...
  15. M

    Naibu Spika Zungu: Bodaboda wanakatisha tamaa, wasimamishwe

    "Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata...
  16. Msitari wa pambizo

    Kama Rais Samia na Spika Tulia ndio role models wa wanawake viongozi am sorry to say this 'Wanawake hawafai kuwa viongozi,

    Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi. Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa...
  17. Erythrocyte

    Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  18. Mpwimbe

    Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

    Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004. Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Hivi kweli, leo...
  19. Blender

    Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  20. DR Mambo Jambo

    Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo.. "Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa...
Back
Top Bottom