Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni.
Kwa...
"Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba
"Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini.
Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani.
Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere.
Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
Salaam, Shalom!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini Urusi na Kazakhstan.
Kwa zaidi ya miaka 100, hakujawahi Kutokea uharibifu mkubwa kiasi hicho, katika...
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!
miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?
Je...
Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama.
Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!
Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya.
Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries
Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
Habari za muda huu wana JF,
Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji.
Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
TAARIFA KWA UMMA
Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.