mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  2. Roving Journalist

    Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
  3. Vandetta

    #COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  4. beth

    Biashara United yaondolewa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli (Libya) CAF imesema sababu zilizoifanya Biashara United kushindwa kwenda Libya kucheza hatua ya pili ya raundi ya awali...
  5. I wish i have

    Katika Mashindano ya AGANO la Kale na Jipya

    Ikifika kwenye MASHINDANO ya kusolve matatizo ya JAMII wanasheria ni wazuri sana kwa vifungu... Miamba ya vitabu Vya dini wakiamua kupambana kwa kutumia Jamii ya watanzania kujua lipi AGANO ni zuri AGANO JIPYA au AGANO LA KALE huwa mnasolve matatizo vipi:?
  6. Utopologist

    Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

    Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri Esperance Widad Mamelody Horoya Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana Pot 1 Ahly, Esperance, Wydad, Raja Pot 2...
  7. Lycaon pictus

    Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua. Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
  8. Gordian Anduru

    Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

    Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
  9. Mwanahabari wa Taifa

    CCM wazipongeza na kuzitakia heri KMKM, Mafunzo, Azam, Biashara & Yanga kwenye mashindano yao ya Shirikisho & Club Bingwa Afrika

    Kazi iendelee | Soka liendelee, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan. Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
  10. M

    Yanga tunajitoa kwenye mashindano: Caf wanaipendelea Simba! itakuweje sisi tucheze mechi 2 wakati Simba hajacheza hata mechi moja?

    Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
  11. Sam Gidori

    Tokyo: Mashindano ya Olimpiki 2020 yakamilika

    Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa mashindano hayo mwaka 2024. Mashindano ya mwaka huu yalikuwa ya tofauti kutokana na maambukizi ya...
  12. The Boss

    Kwanini Nchi isiandae mashindano ya kimataifa?

    Ukitazama Mikataba ya Azam TV kwa mpira wa Tz unaona kabisa mabilioni mengi yanawekeza kwenye mpira wa Simba na Yanga tu... Wakati zipo nchi hazina uwekezaji huo lakini zinaaandaa michuano ya kimataifa.. Kwanini hatufikirii kuandaa Africa nations cup? Au world cup under 20? Au common wealth...
  13. M

    England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
  14. Donnie Charlie

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  15. CAGvsSPEAKER

    Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

    Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao. Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu...
  16. D

    Mashindano ya Drafti kitaifa

    Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021 Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-. Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya. Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo. Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni: Ronaldo...
Back
Top Bottom