Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.
Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii
Vijana wengi wamekata tamaa ku apply ajira zinazktangazwa na kuziona kama kiini macho tu kwa umma maaana kiukweli serikali wana watu...
Machi 2023 Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022. Wengi hawakufahamu ni kitu gani.
Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati anazungumza hayo hakupewa taarifa vizuri na wasaidizi wake kwamba...
Uchambuzi wa picha za satelaiti zilizopatikana na Iran International unathibitisha ripoti za vyombo vya habari kwamba sehemu ya kati ya mfumo wa ulinzi wa anga katika kituo cha anga cha Irani huko Isfahan ilipigwa na shambulio la Israeli siku ya Ijumaa.
Shambulio la usiku mmoja limekuwa suala...
Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu.
Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
Habari njema kwa wakuu wote wa shule nchi nzima katika wakati huu Dodoma ITech company tumekuja na huduma ya mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Bemis School Information System(SIS) na technical support pia data entry masaa 24 wasaliana nasi whatssap DODOMA ITECH 💻🖱️
simu namba: 0687476872...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe...
Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi...
Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. Je, nini kinatumika kabla?
MINING GEOLOGY IT imekuletea kitu chakufanya kabla kuingia kwenye uchimbaji:
Mfano wa "exploration or prospect wastage...
Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo.
Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita.
Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea.
Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amesema wizara walitoa mwongozo wa mabasi ya shule na kwamba waliviachia vyombo vingine vya Serikali kuendelea na ukaguzi wa madereva hao kama wanavyofanya kwa madereva wengine na hawakuwahi kuwa na mfumo.
“Baada ya...
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.
Pamoja na masuala...
Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei?
Msaada wanaujua hili suala.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo
Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.
Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: Wana Arusha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??
My...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi!
Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.