Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha unaoishia Juni, 2024 tuliona kuongezeka kwa changamoto ya upatikanaji wa mafuta (uhaba wa mafuta). Tatizo...
WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE
-_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _
-Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu
Waziri...
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina......
---
The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning.
The AMIA...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza.
Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
DODOMA: Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya amesema Maeneo mengi ya Makazi nchini hayajatengewa sehemu maalumu za Kuhifadhi Taka, hali inayosababisha kuzagaa kwa Taka mitaani
Pia, amesema ratiba ya Magari yanayopita kukusanya Taka kwenye makazi ya Watu haziko wazi na hazijulikani kwa Wananchi na...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
"Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa
"Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari.
Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide.
Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance
Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
Habari zenu Wakuu,
Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha.
Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion kutupiliwa mbali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kukosa mashiko kwa...
Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
Wanabodi heshima kwenu wakuu!
Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA
atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024
Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais...
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
Tunadanganyan sana ikifika swala hili,nikazi kwa uchumi wa nchi kukua kama bidhaa inayozarishwa nchini iko juu kifedha kulinganisha na ile inayoingia kutoka nje.
KWANINI- Sababu bidhaa ya ndani ikipelekwa nje inaenda kuuzwa kwa dollar hivyo kuongeza mzunguko wa fedha za kigeni nchini kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.