lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu.

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  2. matunduizi

    Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  3. Yoda

    Tunaweza kuwa na Muungano wa Serikali mbili na nusu pia, sio lazima kufikiria ni moja, mbili au tatu tu

    Kila mara kunapozuka mjadala kuhusu muungano wetu mara zote watu hubishania kati ya serikali mbili au tatu, kuna kundi dogo pia ambalo huwazia na kuibua hoja za serikali moja kabisa. Je tunaweza kujiongeza kufikiria nje ya mawazo haya? Mfano uwepo wa serikali mbili na nusu. Katika mfumo huu...
  4. MSAGA SUMU

    Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  5. stakehigh

    Kwa nini Bitcoin Halving ni Tukio la Kawaida na Si Lazima Lipandishe Bei Siku Hiyo

    Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa nusu. Hii hutokea takriban kila miaka minne, na imeundwa kudhibiti idadi kamili ya Bitcoin...
  6. Suley2019

    CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni lazima kwa Woambaji wote wa mikopo wenye umri wa zaidi ya miaka 18 na Waombaji walio chini ya umri wa...
  7. MINING GEOLOGY IT

    Kwenye uchimbaji ni lazima kujua jiolojia ya kina cha miamba kwenye upatikanaji wa madini

    Kwa nini tunataka ili? Ndio, katika uchimbaji wa madini, uelewa wa jiolojia ya kina cha miamba ni muhimu sana. Jiolojia ya kina cha miamba inaweza kusaidia katika kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa madini, kuelewa muundo wa miamba, na kubaini mifumo ya matabaka yenye...
  8. Lord denning

    Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  9. Heci

    Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  10. FRANCIS DA DON

    Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  11. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  13. Fundi mahiri wa ujenzi

    Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

    Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake. Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
  14. BICHWA KOMWE -

    Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

    Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani? Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo. Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati? Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe...
  15. M

    Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
  16. Kiboko ya Jiwe

    Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  17. Lycaon pictus

    Dar kama hujaja siku nyingi siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu

    Dar kama hujaja siku nyingi, siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu. Kichefuchefu ni kitendo cha mwili kujilinda dhidi ya sumu. Mtu akila sumu au kitu cha kudhuru mwili una sense na kuleta kichefuchefu ili ukitapike. Sasa hata hewa nzito na mbaya inaenda kushtua eneo lile lile...
  18. 1

    Winga Kramo, Winga Onana, Kumi Triple C Al Ahly lazima ayatimbe

    Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza. Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
  19. MIXOLOGIST

    Maisha lazima yaendelee

    Sikiliza akili kubwa kama ifuatavyo: Dunia hii imejaa mitihani mingi sana yaani tangu unazaliwa mpaka unarudi six feet under; Utakabiliana na mambo mengi, kwa kuchagua au kwa lazima; Utapoteza wapendwa na wapenzi wako; Utaumwa na kuugua maradhi yanayotibika na yasiyotibika; Utashutumiwa na...
Back
Top Bottom