morocco

  1. Roving Journalist

    DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua. Mtendaji Mkuu wa...
  2. BigTall

    Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa. Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
  3. JanguKamaJangu

    Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  4. SAYVILLE

    Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

    Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka hatua iliyofuata ya 16 bora. Na kweli, Morocco ilishinda 1-0 na Ivory Coast ikavuka kama best loser...
  5. Suley2019

    KERO Sehemu za kuvuka Morocco, Ubungo na Mbezi Louis ni mateso kwa Wananchi

    Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
  6. GENTAMYCINE

    Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

    Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
  7. SAYVILLE

    Kwanini kocha wa Morocco alienda kumuingilia Mbemba alipokuwa anasali?

    Kwa wale wafuatiliaji wa AFCON watakuwa wanajua tukio lililotokea katika mechi ya Morocco vs DRC na gumzo ambalo limekuwa linaendelea kuhusu vurugu zilizofuata. Mengi yanasemwa nini kilitokea ila mimi ambaye niliangalia mechi ile live kitu cha kwanza nilichoona ambacho hakikunipendeza ni...
  8. Komeo Lachuma

    Morocco walitugonga 3- 0 kwa Mbinde sana. Leo Congo Watatugonga tena kwa Mbinde

    Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena pipe... Kitu... Waarabu hawa hapa. Cha pili Tunafuta heeeeh. Cha tatu. Waliweza ila si kirahisi rahisi...
  9. Christopher Wallace

    Morocco watoka sare 1-1 na Congo

    Kundi F linazidi kunoga. Morocco watoka sare na DR Congo 1-1 na kufanya kundi F lizidi kuwa gumu. Goli la Morocco lilifungwa na Hakimi huku goli la kufutia machozi la Congo likifungwa na Katompa. DR Congo walikosa penati baada ya beki Inonga kupigwa kiwiko ndani ya box la Morocco. Msimamo wa...
  10. Suley2019

    UZUSHI Mwenyekiti wa Simba, Murataza Mangungu amesema Milioni 70 za Mapinduzi za Simba zilitumika kubashiri mchezo wa Tanzania vs Morocco

    Salaam ndugu zangu, Kuna hii habari nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii ikieleza Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amebeti pesa za simba. Je, ina ukweli?
  11. BlackPanther

    Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM 🇲🇦 HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
  12. BlackPanther

    Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  13. J

    Video: Goli la tatu la Morocco vs Tanzania haikuwa offside?

    Naona kama mfungaji wa goli alikuwa amewazidi mabeki wote kabla ya kupewa pasi aliyofunga go https://youtu.be/87IzT8PazGw?si=8PZAktO84i6kj7RZ
  14. Jaji Mfawidhi

    Morocco kutupiga 3 kavu imetuheshimisha, Zambia na DRC msituangushe!

    UVCCM: Mbona tupo na negativity sana, kufungwa ni football. Sio timu hamasa sio CCM, hata ingekua CHADEMA hata ingekua wewe ndio upo kwenye timu hamasa TUSINGETOBOA kwa Morocco. Sisi ndio tunakuja na wao walishafika siku nyingi, tupo kupata Experience. Tuache kutoa maoni hasi kwenye swala ambalo...
  15. Ladder 49

    Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

    Wake pole na habarini za zenu. Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria...
  16. C

    baada ya kichapo kitakatifu kutoka kwa Morocco tayari wameanza kupiga hesabu zao za vidole

    eti wanaombea zambia na congo dr watoke sare au suluhu wakiamini kuwa wana uwezo wa kuzifunga wakikutana nazo kazi kweli kweli.......!!
  17. C

    Kama Mtanzania halisi nazitakia kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC katika kundi letu

    Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars? Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
  18. Suley2019

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  19. Rockcity native

    Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

    Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
  20. FaizaFoxy

    Waarabu wa Morocco Wawashangaza Waafrika

    Baada ya nchi za Kiafrika Mali, Burkina Faso na Niger kutengwa na Waafrika wenzao ndani ya umoja wa ECOWAS na kutiwa adabu ya kufungiwa biashara zote, kufungiwa umeme na huduma zote za kibinadamu hadi chakula. Wametengwa baada ya nchi hizo kupinduwa serikali zilizokuwa zinajineemesha kwa kundi...
Back
Top Bottom