biashara united

Biashara United is a football club based in Musoma, Tanzania. They play at the Karume Football Stadium in the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein Massanza

    RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
  2. Suley2019

    Rungu: FIFA yaifungia Biashara United kusajili kwa madirisha miwili

    Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili. Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United kushindwa kuheshimu uamuzi wa awali wa FIFA kuifungia kusajili wachezaji hadi itakapokamilisha malipo ya...
  3. mugah di matheo

    Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

    Salam kwenu wanaJf Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu yalibahatika kuona yafuatayo Simba sc Ndani ya kikosi Cha Simba sc ambae alikua mwenyeji wa mchezo...
  4. kavulata

    Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

    Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo. Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
  5. John Haramba

    Ofisa Biashara United alalamika kupigwa na 'makomandoo' wa Yanga

    Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa Yanga. Huyu hapa ofisa huyo anaelezea kilichotokea kabla ya mchezo huo wa Azam Sports Federation...
  6. John Haramba

    Yanga, Biashara United uwanjani leo kwa Mkapa, Kocha Nabi atoa kauli kuhusu mchezo huo

    Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati itakapocheza dhidi ya Biashara United kutoka mkoani Mara. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi alinukuliwa...
  7. M

    Kwahiyo Waziri Mchengerewa ulikuwa unasubiria hadi Yanga SC yako icheze na Biashara United FC (ASFC) ndiyo uwatishie Waamuzi?

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo) ambalo kwa 99.999% linaharibiwa na TFF kwa Interests zao lakini pia na hata Nguvu ya Ushawishi ya...
  8. Komeo Lachuma

    Tumeshamalizana na Biashara United, tunawafunga bao zisizopungua 3

    Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa. Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.
  9. mugah di matheo

    Mtibwa sugar vs Biashara United: Mtibwa yafufukia Manungu

    Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana. Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p Demla dk ya 62' Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu Sasa mtibwa wamefikisha point 5...
  10. beth

    Biashara United yaondolewa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli (Libya) CAF imesema sababu zilizoifanya Biashara United kushindwa kwenda Libya kucheza hatua ya pili ya raundi ya awali...
  11. R

    Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
Back
Top Bottom