azam

  1. NALIA NGWENA

    Mchezo wa Azam FC vs Simba SC tutegemee kuona makosa ya kibinadamu kwa marefa, kadi za michongo na penati ili Simba SC wachukue Kombe la Muungano

    Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu. Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
  2. uran

    LIVE Azam FC 0 - 0 Simba SC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
  3. kiwatengu

    FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  4. Its Pancho

    Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

    Wakuu Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam. Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu Kama msimu...
  5. K

    AZAM YAIFUATA SIMBA FAINALI MUUNGANO

    USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Azam imepata ushindi huo kupitia mabao ya Abdul Sopu dakika ya 7 na 42, huku wafungaji wengine wakiwa ni Nathaniel...
  6. D

    Hivi Azam TV ni burudani kwa wote au burudani kwa waliolipia? Nashauri wabadili kauli ile

    Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
  7. Lycaon pictus

    Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
  8. N

    Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana zinajirudia rudia tu kuanzia visa mpk wahusika. Hv kuna tofauti gani Kati ya Ertugurul, The Othoman...
  9. kavulata

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  10. VOICE OF MTWARA

    Kumbe Azam amecheza leo?

    Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
  11. Suley2019

    TEMESA inailipa Azam Milioni 5 kwa siku

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  12. BARD AI

    CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  13. KAGAMEE

    Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
  14. kavulata

    Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  15. NALIA NGWENA

    Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  16. snipa

    Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  17. Expensive life

    Wana Yanga wametoka kugombana na CAF sasa wamehamia kwa Azam TV

    Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.😄😀 Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao...
  18. The Transporter

    Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  19. Erythrocyte

    Utaratibu uliotumika kubadili Azam Federation Cup hadi kuwa CRDB Federation cup ni upi?

    Naomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe Natanguliza Shukranii .
  20. muafi

    Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,. Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup! je ni i...
Back
Top Bottom