timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  2. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  3. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha kutuwakilisha All African Games, Ghana

    Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Wanariadha hao 8 wakiwemo wa Mbio za Uwanjani, Mbio ndefu na Mrusha mkuki, wameondoka kwenda...
  4. kavulata

    Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  5. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  6. MK254

    Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  7. M

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

    Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali. Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
  9. Trubarg

    Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  10. UMUGHAKA

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
  11. K

    Tafadhali TFF mwalikeni Sure Boy katika Timu ya Taifa

    Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON. Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
  12. R

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
  13. R

    Timu ya Taifa inakosaje kuwa na basi lake?

    Wakuu, Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake Instagram; " Taifa Stars imeingia kibabe sana leo Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kitu cha Marcopolo, sio mchezo!"...
  14. Teko Modise

    TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  15. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Bilioni 3 Kudhamini Jezi za Timu ya Taifa

    SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
  16. M

    Kwanini Kakolanya ni mzuri timu ya Taifa lakini sio kwenye klabu?

    Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani...
  17. JanguKamaJangu

    Antony wa Man United aondolewa timu ya taifa kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake

    Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023. Gabriela ambaye kwa sasa hana uhusiano na Antony (23) anadai aliumizwa kifuani na hivyo kulazimika...
  18. GENTAMYCINE

    FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
Back
Top Bottom