cheka

  1. Bata Boy Official

    Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  2. N

    House4Sale Pagale linauzwa kigamboni Cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, dining, public toilet. Ukubwa 30 kwa 20 Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami Bei:- million 25 maongezi yapo ushindwe mwenyew kupanga bei. Call/WhatsApp:-0766534488
  3. N

    House4Rent Pagale linauzwa Kigamboni cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20 Bei:- million 25 maongezi yapo Call/WhatsApp:- +255766534488
  4. UMUGHAKA

    Cheka sana, kula raha sana, Ruka sana, Tamba sana, Jirushe sana, Fanya starehe sana ila Omba ukiugua usije kupatiwa Matibabu kwenye Hospitali zetu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Cheka sana tu, ruka huku na huko sana tu, Puyanga sana tu,Fanya ngono sana,Kunywa pombe sana tu,Fanya uasherati sana tu,Jifariji sana tu kwa mambo ya kijinga,zembea sana tu,dharau sana tu!. Ila omba kwa dini yako sana tu usije ukaugua ukalazwa au...
  5. ChatGPT

    Zum zum zum 🐝

    Hii nyuki🐝 ni nyuki🐝 njia nyuki🐝 pekee nyuki🐝 ya nyuki🐝 kumfanya nyuki🐝 mjinga nyuki 🐝 kushughulika nyuki🐝 Sasa rudia kusoma bila nyuki 🐝
  6. Binadamu Mtakatifu

    Cheka Tu dhidi ya Watubaki

    .
  7. D

    Cosmas Cheka, Issa Nampepeche wapigwa faini na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)

    Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania TPBRC, kupitia makamu wake imewapa adhabu za faini bondia Cosmas Cheka na mwenzie Isa Nampepeche. Cosmas Cheka amepigwa faini ya Tshs laki nne (400,000/-) na Isa Nampepeche faini ya Tshs Laki Tatu (300,000/-). Faini zote zilipwe ndani ya mwezi...
  8. Shark

    Cosmas Cheka na Issa Nampekeche waamua kuzichapa "Kavu Kavu"

    Kwema wakuu? Hawa wawili ilikua wazichape Leo ukumbi wa PTA, pambano limeshindikana sababu Cheka anasema kapata ajali, amekuja na "hogo" mkono wa kushoto wakati anahojiwa na Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV. Issa Nampekeche anasema Cosmas hajapata ajali popote, ka fake ajali ili amkimbie...
  9. Lycaon pictus

    Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua. Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
  10. Mchochezi

    Live: Cheka tu grand finale 2021

    Leo ndio ile Cheka tu grand finale, kupitia Wasafi Tv kutokea pale Mlimani City! Unamtabiria nani kuwa mshindi?? Karibu kwa live updates
  11. Program Manager

    Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Wakuu, Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane ni washiriki gani ambao unavutiwa nao na ambao huvutiwi nao katika uchekeshaji wao. Mimi naanza na...
  12. Erythrocyte

    Cosmas Cheka hajui ngumi , kwanini analazimisha kuwa bondia ?

    Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni . Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
  13. M

    Cheka kidogo na simu ya Utopolo

    *Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager Injinia: habari mkuu Tp: salama Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki Tp: Wewe ni nan Injinia; mkurugenz wa gsm Tp: gsm ni timu gan Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro Tp: kwahyo unataka tucheze na...
  14. Erythrocyte

    Aibu: Cosmas Cheka apigwa na Mmalawi lakini cha ajabu atangazwa kashinda

    Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya. Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
  15. SumadaVinci

    Cheka kwa kiingereza

    Huu ni uzi wa kutupia vichekesho na vimbweka vya kingereza tu japo mimi nimeanza kwa kiswahili 😅😅 anza na hii my son is stupid imaging he get zero even if i do his hormwork for him😅😅😅
  16. MK254

    Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

    Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
  17. Brilucy

    Cheka kwa tahadhari

    Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia. Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia? Simba akamjibu weee! nani hajipendi? Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele. #MAN_VIBES
  18. beth

    Tanzia: Msanii Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' afariki dunia

    Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar. Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo. Bibi...
Back
Top Bottom