Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,467
- 859
Kazi iendelee | Soka liendelee,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan.
Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho na baadae Club-Bingwa Africa hapo mwakani.
CCM ndio chama pekee kilichobeba agenda ya michezo na wanamichezo kisawasawa hili Tanzania inajua na dunia inajua, kwani CCM inaamini michezo ni ajira, michezo ni kazi kama kazi zingine na nia ya CCM nikufikia kazi|ajira 8M ifikapo mwaka 2025 hivyo huwezi kuitenga CCM na michezo kama chanzo cha ajira hasa kwa Vijana wa Kitanzania.
Tanzania ni miongoni mwanchi 12 tu zitakazopeleka timu nne kwa pamoja kwenye mashindano hayo ya CAF ambapo timu mbili zitacheza kombe la Shirikisho na timu mbili zitacheza Club Bingwa Africa huku Simba SC wao wakiwatayari wamefuzu hii ni kazi ya CCM na nimatokeo ya Uongozi mahiri na imara wa Rais Samia Suluhu Hassan.