Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT
Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
Wanabodi,
Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN
Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.
Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.
Ni hawa...
Japo unafanya kazi nzuri, lakini ulikosea sana kuweka kikosi kizima cha first eleven ulipocheza na Azam katika mchezo wa ligi kuu huku ukikabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Mamelodi.
Najiuliza tungepata majeruhi zaidi, leo hali ingekuwaje?
Kesho mkifuzu, ni bora kuchezesha asilimia kubwa ya...
Aprili 2 kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa ili kuongeza uelewa na umuhimu wa kuhakiki na kuthibitisha ukweli katika taarifa zetu za kila siku. Katika ulimwengu uliojaa taarifa za haraka na mara nyingi zenye utata, uhakiki unakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali...
Kila Mwaka, Binadamu wanazalisha kati ya tani bilioni 2.1 na 2.3 za taka ngumu.
Takriban Watu bilioni 2.7 hawapati Huduma ya ukusanyaji taka, ambapo bilioni 2 kati yao wanaishi maeneo ya Vijijini.
Bila hatua za dharura, uzalishaji wa taka ngumu kila Mwaka utafikia tani bilioni 3.8 ifikapo...
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards.
Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi(international pax)kwa mkupuo...
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili Joseph Moses Oleshangay.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga akizungumza na Waandishi wa...
Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio wataokwenda kuangalia bure kwenye gemu ya Yanga, kwa hiyo kimahesabu gemu ya Yanga itajaza sana mashabiki...
Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii.
Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kuja huko Dar es Salaam kwa KAZI MAALUM juu ya Simba SC yangu.
Na...
Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13.
Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha.
Pia hii itakua fursa kwa...
Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi.
Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Alhamisi 21, 2024 limepitisha kwa pamoja azimio la kwanza la kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba nchi kulinda haki za binadamu, kulinda data binafsi, na kufuatilia kwa karibu teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza...
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).
Kabla ya...
Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio.
Kulingana na takwimu...
09 Machi, 2024
SERIKALI YASHINDA SHAURI LA USULUHISHI KATIKA BARAZA LA KIMATAIFA LA BIASHARA (ICC)
Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.