kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kama umeweza kupunguza stress zako bila kilevi tusaidie mbinu uliyoitumia

    Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji Kugundua watoto sio wako kuingia 18 za vyombo vya dola, N.k. Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
  2. U

    Dereva wa basi azuiwa kuendelea na safari baada kukutwa yupo tungi, vipimo hivi vianze kutumika rasmi kupunguza ajali

    Na inaonekana ana jicho limeiva kama nyanya si ajabu kavuta misokoto kadhaa JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani limeshikilia dreva wa kampuni ya Ahmed Trans lenye namba za Usajili T586 AJH linalofanya safari ya kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tanga Rajab Omari baada ya kumkuta...
  3. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  4. Stephano Mgendanyi

    BRT, FLYOVERS na Barabara Kupunguza Msongamano wa Magari Katika Miji na Majiji Yatekelezwa

    BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa...
  5. maroon7

    Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  6. Tlaatlaah

    Ulianzaje na ukafanikiwa kujizuia, kupunguza na hatimae kuacha kabisa uzinifu na uchepukaji?

    Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na kuheshimika mbele ya jamii?🐒 Maana madhara ya uchafu huo ni bayana, yameathiri pakubwa jamii nzima ya...
  7. U

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  8. The Sheriff

    Utafiti: Watanzania Wanaunga Mkono Mikakati ya Kupunguza Uzalishaji wa Methane Kushughulikia Mabadiliko ya Hali ya Hewa

    Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
  9. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  10. kipara kipya

    Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  11. K

    Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
  12. Eli Cohen

    BoT, je kuna uwezekano wa kuongeza quality za noti zetu ili kupunguza gharama za kuchapisha mara kwa mara?

    Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu. "Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu" IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  14. ubongokid

    Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  15. Roving Journalist

    Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  16. S

    Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  17. Suley2019

    UZUSHI Kula matango baada ya kuvuta sigara kunasaidia kupunguza athari zake

    Salaam ndugu zangu, Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara. Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona. Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
  18. amicky008

    Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  19. Offshore Seamen

    Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  20. Elli

    Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
Back
Top Bottom