noti

NotI is a restriction enzyme isolated from the bacterium Nocardia otitidis.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  2. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  3. D

    Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  4. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kuondolewa sifuri mbili kwenye sarafu na noti zote za Tanganyika

    Nchi ya Zanzibar wataamua wenyewe cha kufanya, ila upande wa Tanganyika, napendekeza ziondolewe sifuri mbili kwenye sarafu zake zote. Kwa mantiki hiyo:- 1.) Tsh. 100/= itakuwa Tsh. 1/= 2.) Tsh. 200/= itakuwa Tsh. 2/= 3.) Tsh. 500/= itakuwa Tsh. 5/= 4.) Tsh. 1,000/= itakuwa Tsh. 10/= 5.) Tsh...
  5. Tamu3

    Saini upate noti

    Usaini mkataba, upewe mengi manoti, Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati, Masharti yote saba, yapite kimkakati, Saini hu mkataba, upewe mengi manoti. Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini, Tutakupa nyingi pesa, Leo na huko mbeleni, Huna kitu utakosa, mkataba kisaini, Saini hu mkataba, upewe...
  6. D

    Sheria inasema " Pesa za noti zote zihifidhiwe kwenye waleti wakati wa kuzibeba au kusafili"

    Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na adhabu mi miaka kumi jela. Siku BOT ikianzq kufatilia msiseme sikuwaambia. Hii hata pascal mayala hajui
  7. Eli Cohen

    BoT, je kuna uwezekano wa kuongeza quality za noti zetu ili kupunguza gharama za kuchapisha mara kwa mara?

    Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu. "Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu" IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
  8. Mhafidhina07

    Alama ya nyoka kwenye noti za mataifa huashiria nini?

    Nimesoma bibilia ya agano la kale mwanzo:2:15 mungu anamlaani nyoka kwa matendo yake na alijua kuwa ni mwerevu kuliko wanyama wote hivyo naweza kuchukulia maana hyo kwenye kutambua alama ya nyoka kuwa ni mdudu mwenye sumu kali na ukitaka kumuua tafuta kichwa. Je swali langu nyuka amepewa sifa...
  9. BARD AI

    BoT yasema Noti za Tsh. 10,000 zimeongezeka mtaani hadi Tsh. Trilioni 6.3

    Ripoti ya Dondoo za Takwimu za Robo mwaka inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha ongezeko kubwa la thamani na mzunguko wa noti ya Sh10,000. Ufuatao ni mwenendo wa thamani ya mzunguko wa noti za Sh10,000 mtaani. Desemba 2018 ➡ Sh3.6 trilioni Desemba 2019 ➡ Sh4 trilioni Desemba...
  10. Papaa Mobimba

    UZUSHI Afrika Mashariki yazindua noti yake iitwayo SHEAFRA

    Habari wakuu, Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa Moja ya...
  11. ChoiceVariable

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  12. Suley2019

    Pwani: Polisi wakamata noti bandia za milioni 13

    Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limekamata noti za fedha zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 13 za bandia pamoja na Mtambo wa kutengeneza pesa hizo Maeneo ya Goba jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya noti hizo zilishaanza kutumika mitaani ikiwemo Msata, Chalinze Mkoani Pwani Tukio hilo...
  13. Mr Q

    MAPENDEKEZO. Noti ya shilingi Elfu kumi ibadilishwe

    Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana Wenye mamlaka litizameni hili.
  14. JanguKamaJangu

    Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  15. peno hasegawa

    Waziri adaiwa kumwaga noti kununua Kawe beach, NHC yasema haijauzwa ni mali yake na kampuni ya Dubai

    WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
  16. BARD AI

    Lindi: Benki Kuu yapokea Noti zinazodaiwa kuwa na ‘Chuma Ulete’

    Meneja Huduma za Kibenki wa Benki Kuu Kanda ya Kusini, Melchiades Rutayebesibwa amesema fedha zilizochakaa zimekuwa zikirudishwa ili kubadilishwa ambapo zipo zilimwagikiwa rangi, zilizoandikwa na zingine huja zikiwa zimekatwa katika pembe nne. Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyotokana...
  17. Teslarati

    Nini kilikupa hasira ya kuzisaka noti na kuusaka utajiri kwa njia yoyote ile? Changu ni hiki

    Nikikumbuka nacheka sana. Nilipomaliza chuo nilipata internship mahala fulani, baada ya mwaka nikapata fulltime job kwenye NGO moja kubwa sana hapa TZ, hapo nilikua kijana wa starehe sana. Nilikua nna tabia moja mbovu sana mwisho wa mwezi, mshahara ukiingia nusu yake nalewea na kuspenda na...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu. 1. Pendekezo...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana. Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
Back
Top Bottom