Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.

Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.

Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.

Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?

Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.

Mimi sio polisi wala sina ndugu wa damu ambaye ni afisa au askari wa jeshi la polisi. Nawapa tu ushauri.
 
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.

Moral of the story ni divide and rule.

Hii njia walitumiaga wakina nani Wafaransa au Wabelgiji? Wazee wa history nikumbusheni tafadhali
 
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.
Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.
Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?
Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.
Akili za mtu mweusi ni za ajabu sana, kwa hiyo ukiuziwa na mwajiri wako huko kazini,hasira zako zote unaenda malizia kwa wanao!? Au unatakiwa umface mwajiri wako ajibu hoja zako!?
 
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.
Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.
Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?
Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.
Mimi sio polisi wala sina ndugu wa damu ambaye ni afisa au askari wa jeshi la polisi. Nawapa tu ushauri.
Sahihi sahihi.

Bora kuwa mpole ukiwa chini ya ulinzi hawatakudhuru.

Hakikisha kila maagizo unayafuata upfront. Kwenye kutoa statement hakikisha unazichota akiki zao ili wajiridhishe unatoa ushirikiano ili ukapambane na kesi mahakamani
 
Jeshi la Polisi halina weledi halina vision wao ndio wenye haki wao ndio wenye nguvu wao wana chuki na wananchi hata sielewi kwa nini sijui sheria ya kukupiga sijui waameipta wapi na wabunge walivyokuwa wapumbavu hata kuuliza bungeni sheria ya kumpiga raia kwa jeshi la polisi wameipata wapi pale wanapomkamata au polsi ukumauliza kosa langu kitu gani yeye anachojua ni kukupiga tu nafikiri hata yeye mwenyewe hajui mambo haya yatakwenda mpaka lini .Jeshi la polisi kajifunzeni uweli na muwe creative wa kuingiza pesa na sio kuchukua Rushwaaa.
 
Yaani wakiwa kazini wanawaza pesa tu. Mengine ni ziada
 
Utiii, utiii, utiii.

Nyenyekea, nyenyekea, nyenyekea

Waite ofisa, ofisa, ofisa

Waite mkuu, mkuu, mkuu.

Kama wanaotaka Hela wape.

Ukiketa ujuaji mikononi mwa polisi unauliwa au kubadilishiwa kesi au kupigwa sana.
 
Mtoa hoja kama ni ujinga basi elimika hapa, kama ni upumbavu..can't help ,police hawana haki ya kisheria kumpiga suspect(s)na ushahidi wote unaotokana na kipigo haukubaliki mbele ya court, police ni lazima ukupe haki yako wakati wa arresting na elewa una haki ya kukaa kimya pia, Tanzania ya haki inawezekana kabisa, Urais wangu ,police wote above 45 yrs nitawastaafisha kwa manufaa ya umma,nitaajiri young graduates na kuwapa training ya kisasa, 2000 nitawapeleka Botswana kuwa traffic officer's, 4000 Canada kuwa detectives, 500 state kuwa special investigators, UK 5000 kuwa police wa kawaida, 2500 Israel kuwa special units within police,nchi itaendeshwa kikatiba na constitutions court ndio itakuwa Apex ya mahakama zote
 
Jeshi la Polisi halina weledi halina vision wao ndio wenye haki wao ndio wenye nguvu wao wana chuki na wananchi hata sielewi kwa nini sijui sheria ya kukupiga sijui waameipta wapi na wabunge walivyokuwa wapumbavu hata kuuliza bungeni sheria ya kumpiga raia kwa jeshi la polisi wameipata wapi pale wanapomkamata au polsi ukumauliza kosa langu kitu gani yeye anachojua ni kukupiga tu nafikiri hata yeye mwenyewe hajui mambo haya yatakwenda mpaka lini .Jeshi la polisi kajifunzeni uweli na muwe creative wa kuingiza pesa na sio kuchukua Rushwaaa.
achana na siasa mkuu chukua mbinu ya mletamada hapo juu,huu weledi wameukosa CCM unautaka kwa wapwa zao polisi!!!
 
Back
Top Bottom