uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamichakato

    Currency swap kati ya Tanzania na China, India, Turkey kukabiliana na uhaba wa Dola

    Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  3. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  4. J

    MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  5. BARD AI

    Takriban Nchi 16 zakabiliwa na uhaba wa Chanjo ya Kipindupindu

    AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo. Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo...
  6. chiembe

    Uhaba wa sukari: Taasisi ipi ilipaswa kuona mapema (early warning systems) lakini haikuona?

    Kama nchi, kuna mahali mfumo ulishindwa kufanya kazi sawasawa. Either Bodi ya Sukari, au Taasisi ya Takwimu au Vitengo ndani ya wizara. Nani hakufanya nini ambacho alitakiwa kufanya? Na katika sekta nyingine mbali na sukari, mifumo yetu ina njia za kutoa tahadhari kwa viongozi? Iwe ndani ya...
  7. Replica

    Serikali 'yazilegezea' Bureau De Change kupambana na uhaba wa Dola

    Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni. Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu...
  8. Wakili wa shetani

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  9. Selemani Sele

    Uhaba wa sukari umekithiri Jijini Dar es Salaam. Je, hiyo iliyoagizwa haijafika bado?

    Za asubuhi wananchi wenzangu, Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45. Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa...
  10. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana. Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi? Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari? Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi...
  11. L

    Ila hii issue ya uhaba na bei ya Sukari inawachora kweli kweli!

    Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
  12. S

    Miaka 60+ nchi inajadili uhaba wa sukari?? CCM hebu kaeni pembeni

    Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari? Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60? Sukari!! Aibu naona mimi. Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
  13. U

    Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  14. Melki the Storyteller

    Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  15. BARD AI

    Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  16. A

    Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  17. Nyani Ngabu

    Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

    Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake. Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu. Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani. Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu...
  18. Roving Journalist

    TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  19. Wadiz

    Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  20. BARD AI

    Muhimbili yakabiliwa na uhaba wa damu

    Wakati ikiwa na uhitaji wa chupa 150 za damu kwa siku, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imekua ikikusanya chupa 35 mpaka 60 pekee hali inayochangia uwepo wa uhaba wa damu hospitalini hapo. Makundi yaliyotajwa kuwa hatarini zaidi ni yale yenye idadi ndogo ya watu yaani asilimia 1 ya Watanzania...
Back
Top Bottom