hospitali ya wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa Afanya Ziara Hospitali ya Wilaya Igunga

    MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA 1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa. 2. Akemea lugha za mauzi na kebehi kwa wagonjwa. 3. Akagua ujenzi wa majengo mapya ya thamani ya Shilingi Milioni Mia Tisa...
  2. J

    Kimeumana DC Shaka ageuka mbogo ujenzi wa ICU hospitali ya wilaya Kilosa

    KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
  3. Lady Whistledown

    Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa kazi ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mwanga, DED adai kuna Uhaba wa Wahandisi

    Akiwa katika ziara Wilayani Mwanga, Makamu wa Rais wa JMT, Dkt. Philip Mpango ameiagiza TAMISEMI kuchunguza Matumizi ya fedha za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo baada ya kutoridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa Mradi huo Ni katika ziara hiyo Dkt. Mpango alipobaini kuwa aliyepewa kazi ya...
  4. The Sheriff

    Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  5. Roving Journalist

    Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  6. M

    2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

    Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha. NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  8. Roving Journalist

    Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  9. F

    Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  10. M

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  11. USSR

    Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

    Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi, Handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama...
Back
Top Bottom