BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE.
Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
Plumbing bc inatoa huduma Kwa wateja wanayependa huduma mzuri,zifuatazo ni huduma baadhi tunazo zitowa
1)skimingi nyumba,shule, hospital nk
2)tunaseti mifumo ya maji aina zote
3)tuna Jenga fensi,gadeni nk
4)tunatowa ushauri
5)tuna chapia
6)tuna towa huduma ya ulembo mbali mbali kwenye nyumba...
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat.
Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) na Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
MAKALA YA 7
Karibu katika Makala yenye kukuhabarisha mambo kadhaa Juu ya Ujenzi,leo tunaangazia japo kwa ufupi juu ya "Nyufa"
1.Nyufa ni mpasuko/Mipasuko inayojitokeza katika sehemu ya jengo I.e Ukuta,Nguzo,beam au msingi.
-Nyufa ni tatizo la pili kwa ukubwa linalokumba majengo ukiachana na...
Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji.
Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa:
1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System...
Pasaka imeenda
Ramadhan imekwisha
Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano.
Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani.
Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI.
Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwezi Machi, 2021.
Hayo yamesemwa Aprili 5, 2024...
Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi.
Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa barabara kutumia njia mbadala.
Hili linasabisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara/njia hizo.
Pia...
UJENZI WA BARABARA YA SANZATE - NATA WAFIKIA 45%
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate - Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo...
MAKALA MAALUM
karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi.
Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo.
1.Kama ilivyo kwa Mavazi na Simu;Majengo nayo huwa na muonekano wa mitindo tofauti tofauti yenye kuvutia...
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo unapunguza uwezo wa jengo kudumu mda mrefu.
Unabisha....?
-bati za nyumba za Dar nyingi zina kutu kuliko za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.