KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku.
Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM...