mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  2. proisra

    KERO Halmashauri ya Mji Kibaha amkeni, tatueni kero za barabara mbovu

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Historia fupi ya mji wa ROMA

    KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma. Roma imeanza kukaliwa na watu kwa zaidi ya miaka elfu 2 iliyopita. Ni mji wa 3 kwa umaarufu katika...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jeriko Palestine mji mkongwe zaidi duniani

    1. JERICHO -PALESTINE Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali watu waliishi kwa kuhamahama kwahyo mji wa Jericho ndio ulikuwa wa kwanza duniani kwa watu...
  5. Saad30

    KERO Barabara inayoelekea Hospitali ya Magunga Korogwe ina shimo ambalo linazidi kuongezeka kila leo, mamlaka shughulikieni hili

    Moja kwa moja kwenye mada. Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza kuleta shida. Shimo ambalo limeanza kuonekana litaweza kusababisha ajali usiku na pia uharibifu wa...
  6. covid 19

    Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hawa machawa wakiongozwa na chawa mkuu Mwijaku wanafanya mji unachangamka sana yaani hii style ya kusifia watu wazito na vimisemo misemo flani hivi inachangamsha sana mji. Jiji limechangamka media zimechangamka nina rafiki zangu Nairobi na kampala...
  7. Trubarg

    Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
  8. ndenga

    Mpango Mji wa Dar es Salaam unavyopotea kwa Kasi, Ujenzi bila Mpangalio

    Wadau, nimepita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam katika hali ya kawaida mpango mji haueleweki tena au haufuatwi. Watu wanajenga hovyo sijui kama wanavibali au ni mamlaka zimelala. Baadhi ya vitu vinashangaza, kwa sasa asilimia kubwa ya nyumba zilizopakana na barabara wanaweka frame za...
  9. MK254

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana. =================== The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people...
  10. Mjukuu wa kigogo

    Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  11. Mjukuu wa kigogo

    Hongera idara ya elimu sekondari halmashauri Bunda kwa mabadiliko ya mtihani wa mock kidato cha pili na kidato cha nne

    Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi? Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
  12. Mjukuu wa kigogo

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  13. R

    Chile: Mji mzima wateketea Kwa Moto, tusipuuze Manabii

    Salaam,Shalom, Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu kabisa,Chanzo Cha moto huo hakijafahamika Hadi sasa,ingawa mamlaka zinasema chanzo, yaweza kuwa ni ARSON...
  14. joss1973

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mji

    Viwanja vinauzwa, vipo Kibaha picha ya ndege, vimepimwa na miundombinu ya barabara, umeme upo. Vina offer. Vipo karibu na hospitali ya halmashauri ya mji Kibaha, pia shamba linauzwa lipo Kisarawe lina hekta moja na nusu. Kwa maelezo zaidi cont 0713 95 92 90
  15. Mjukuu wa kigogo

    Karibu mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo hapaHalmashauri ya mji wa Bunda...

    Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na wapambe ambao kwa lugha za siku hizi wanaitwa "machawa".Hawa ndio sumu kwa maeneo mengi ya makazini...
  16. MK254

    M23 wateka mji wa Shasha, na kuanza kuzingira Goma, busara itumike

    Itafutwe mbinu ya kisiasa ya kupatanisha wapiganaji kwenye nchi ya DRC, vita vya nchi ile sio vya kawaida, kuna mkanganyiko mkubwa sana na umwagikaji wa damu utaendelea kwa muda mrefu kama pande zote zitaendelea kutunisha misuli. ============ M23 Rebels Seize Strategic Town in Rapid Advance to...
  17. Offshore Seamen

    Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  18. LIKUD

    Hodi hodi Nachingwea: Wazoefu wa Nachingwea nipeni ABC za mji wa Nachingwea na vijiji vyake

    Kwema wakuu kama mnavyojua bado nipo kwenye ziara yangu ya mikoa ya kusini mwa Tanzania. Baada ya Newala na Mtwara na Masasi, ninaelekea Nachingwea nikitokea Masasi. Naomba watu mnaoijua Nachingwea vizuri mnipe ABC za wilaya ya Nachingwea na vijiji vyake. Mfano wenyeji wa Nachingwea ni kabila...
  19. H

    Mapigano Makali ya Kivita Katika Mji wa Jadotville, Congo 1961

    Habari zenu wana Jf! Leo tupate hii hadithi ya wanajeshi wa Irish huko nchini Congo mwaka 1961. Mwaka 1961, wanajeshi wa Ireland walipata changamoto kubwa huko Jadotville, eneo lililoko chini Congo, wakati wa mgogoro wa kisiasa na kijeshi katika eneo hilo. Hali hiyo ilisababisha mapigano...
  20. BAKIIF Islamic

    Uislamu ulifika Afrika na kukubalika vyema kabla ya mji wa Makka (Saudia)

    Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum. Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
Back
Top Bottom