Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu.
"Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu"
IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini.
Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto."
Aidha...
Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto."
Aidha...
Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei
Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu:
1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani
2. Kaweka ruzuku kwenye...
Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
Habari wakubwa,
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA
*Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
ECONOMIES OF SCALE
Hiki ni kitendo cha kupungua kwa gharama ya uzalishaji (Average cost) kadri ya uzalishaji wa bidhaa unavyoongezeka.
Njia ambazo zitamsaidia mfanyabiashara kupata economies of scale ni kama zifuatazo:
1. Kununua mahitaji yanayohitajika katika uzalishaji kwa bei ya jumla...
Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo.
Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
Ni muda Sasa tangu nimeanza harakati za kufuatilia mbinu za kupunguza malisho ya mifugo. Kwa mengi niliyojifunza, machache nimewafunza wengine wengi. Machache hayo Ni:-
1. Hydroponics fodder
2. Uzalishaji wa azolla
3. Uandaaji wa silage (ki vunde)
4. Uzalishaji wa funza
5. Uzalishaji wa minyoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.