mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
  2. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  3. Intelligent businessman

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi. Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda. Kwasababu upo...
  4. Sumbi Sanchez

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  5. Mr_kim_joh

    Kuna huu mzigo

  6. baraker88

    Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Kuelekea Bunge la bajeti 2024/2025 naishauri serikali kupitia upya gharama za umeme ambazo zimekuwa na makato mengi sana na kuwa Mzigo kwa Raia. Haya na mengine mengi ndiyo mahitaji yetu sisi wananchi, wabunge punguzeni kusifiana na kutukuzana bungeni, elekezeni mijadala yenu katika kujadili...
  7. H

    INAUZWA Nauza Cisco catalyst switch model C9200L-24P-4G-E kwa milion 4 tu mzigo uko mchache wahi

    C9200L-24P-4G-E Cisco Catalyst 9200L 24-port PoE+ 4x1G uplink Switch, Network Essentials Layer 3 switch Mpya kwa 📦 box lake Mawasiliano 0717633724 kama unataka kununua
  8. Mributz

    Msaada: Nataka nitume mzigo kutoka Dodoma kwenda Arusha

    Naomba kuuliza nasafirishaje kitanda kutoka Dodoma kuja Arusha. Kwa mwenye kujua gari za mizigo Dodoma zinapopaki. Ahsanteni
  9. M

    Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Habari wadau. ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako. Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao. Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
  10. U

    Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

    Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
  11. Masikio Masikio

    Asilimia kubwa ya shule za Tanzania, serikali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana, matokeo yake mzigo huo wamebebeshwa wazazi

    Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie. Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya...
  12. Pinda Nhenagula

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Naomba msaada...
  13. Frank Wanjiru

    Farhan: Kila timu ibebe mzigo wake mwenyewe

    "Kitu kimoja kuhusu mpira wa miguu hakuna kinachodondoka kutoka angani, wakati wanaanza project yao wengi hawakuamini watafika popote, ila Wahuni walifahamu wanachokiandaa kifupi The Premier League and Africa wasnt ready for this show. Zilianza kelele za Bahasha zikapita na kuondoka, zikaja...
  14. U

    Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  15. MamaSamia2025

    Wafanyabiashara wa Tanzania msipoteze uaminifu kwa manufacturers wa nje waliowaamini kwa kutolipia mizigo mliyopewa kwa mali kauli. peni pesa za watu

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
  16. U

    Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  17. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  18. ubongokid

    Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  19. Nyanswe Nsame

    Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo na Kagera Sukari

    Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH. Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho...
  20. U

    Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
Back
Top Bottom