kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  2. L

    Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  3. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
  5. Ritz

    Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki' - Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia "Mapitio ya mafundisho yetu ya...
  6. Roving Journalist

    Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  7. D

    kwanini huwa wanachimba (kutrimu) barabara na kuyaacha mashimo kama hawana bajeti ya kujenga?Tanroad/tarura

    Naomba kuuliza tu! Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini? Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea! Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua? Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba...
  8. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Daraja la Mitomoni - Ruvuma

    Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini na Nyasa Mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 16 Aprili...
  9. N

    Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
  10. B

    Dr Samia atamaliza Muda wake, Zahanati na Shule Hata Diwani anaweza kujenga, Tumuombee Aache Legasi ya uhakika 2030 sio Mbali.

    Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah. 2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo. Je tutamkumbuka kwa lipi...
  11. T

    Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
  12. Yehoyada Yedidia

    Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
  13. M

    Kujenga Utajiri wa Kudumu (Generational Wealth)

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku). Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
  14. Kv-london

    Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  15. Abraham Lincolnn

    Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 9.88 Kujenga Lami Barabara ya Dareda Mjini - Dareda Mission Babati

    BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
  17. Ojuolegbha

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Sekta ya Ulinzi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Sekta ya Ulinzi Mafanikio ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 📅 03 Aprili, 2024. 📍 Dodoma
  18. BARD AI

    Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  19. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  20. Njugu mawe

    Nataka kujenga

    Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu, Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa? Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili...
Back
Top Bottom