marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

    kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule. Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana. Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi? Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  3. Jaji Mfawidhi

    Je, trafiki chanzo cha ajali? Busta zipigwe marufuku? Elfu 3 kila Daladala zinafanya gari kuwa zima? IGP, Ramadhani Ng'anzi anajua?

    Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
  4. Dalton elijah

    Abidjan: Omba Omba wapigwa Marufuku ili Kupambana na Fujo za Mjini

    Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini". "Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...
  5. Mlaleo

    Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  6. Nyamesocho

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  7. T

    Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  8. The Sheriff

    Romania: Wabunge wataka marufuku ya TikTok kuzuia propaganda na jumbe za kihafidhina

    Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha kukua kwa uungaji mkono wa siasa kali za mrengo wa kulia miongoni mwa vijana, ambao ni watumiaji wakubwa...
  9. BARD AI

    Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

    NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
  10. SAYVILLE

    Tunajengaje "Utalii wa Michezo" kwa kupiga marufuku na kutishia mashabiki wasisapoti timu fulani?

    Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya haraka ya "Utalii wa Michezo" maana yake ni "kuandaa matukio ya kimichezo ambayo yatavutia watu...
  11. Suley2019

    Mkuu wa Wilaya Msando apiga marufuku magari ya wagonjwa kuhamishwa kwenye vituo

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu nyingine bila sababu maalum. Mkuu huyo wa wilaya amesema hayo leo Machi 9, 2024 katika Kijiji cha Msomera...
  12. K

    Sababu plate number za 3D kupigwa marufuku

    Sijui ni nani alianzisha Plate Number za 3D lakini ukweli ni Kwamba Ubunifu huu Ulipokelewa vizuri mtaani kiasi Cha Wabunifu Kuanza kuneemeka utundu wao. Lakini Kabla Asali hiyo haijakolea mdomoni Utamu umeingia mdudu Serikali Kupitia Jeshi la Polisi wamepiga Marufuku matumizi ya Plate Number...
  13. Lady Whistledown

    Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  14. Praise_ayoub

    X(Twitter) kujinufaisha na vikundi vya kigaidi vilivyopigwa marufuku, Je mpango huu utaleta madhara chanya?

    Kundi la kampeni limemshutumu X kwa kutoa alama za bluu kwa mashirika ya kigaidi ambayo yanapaswa kuwekewa vikwazo vya Marekani. Mradi wa Tech Transparency ulisema umetambua zaidi ya akaunti kumi na mbili za X za mashirika yaliyoidhinishwa na Marekani ambayo yamepewa alama ya kulipia, ambayo...
  15. PureView zeiss

    Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

    Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion ✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono ✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini ✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
  16. M

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
  17. U

    Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

    Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
  18. B

    Serikali piga marufuku mrundikano wa abiria kwenye Daladala

    Yaani kuishi nchi hii ya Tanzania imekuwa nongwa sana, kila eneo wafanyabishara wanajiamlia kufanya yao. Waendesha daladala wanapakia abilia hadi mlangoni, watu wanasimamiahwa na kupangwa kama magunia ya mikaa. Kwani serikali hatuwezi kufanya hata hili la usafiri kwa kuzingatia level seat nchi...
Back
Top Bottom