mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

    Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
  2. Lycaon pictus

    Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  3. Stephano Mgendanyi

    Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  4. Tlaatlaah

    Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  5. M

    Mdau anauliza kwanini awe mkali kwa ugomvi wake na mwengine

    Mzazi mtoto wake hata awe mbaya kiasi gani na hamuui, awe shoga, mwizi, jambazi bado asilia 98 ya wazazi hawatowaua watoto wao. Iweje Mungu wetu wa upendo atuchome sisi watoto wake kwa sababu ya ugomvi wake yeye na shetani?
  6. B

    Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

    Guys mambo vipi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
  7. JF Toons

    Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  8. B

    Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
  9. Sultan MackJoe Khalifa

    Fali Ipupa ni mkali kumzidi Ferre Gora

    kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50. nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali. goli la ushindi la Fali Ipupa ni nyimbo ya MAYDAY.👈 Hii nyimbo imefunika nyimbo zote za Ferre Gola na za kwake...
  10. Erythrocyte

    Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  11. L

    Chama cha Kikomunisti cha China chaendelea kuwa na mvuto kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na msimamo mkali wa kuzingatia maadili

    Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
  12. ndege JOHN

    Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  13. M

    Wimbo wa Harmonize "I made it" ni mkali au wa kawaida?

    Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States. Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara moja bali ni mara nyingi, na hapo juzi kati Harmonize alisogeza mbele kuutoa baada ya msanii Diamond...
  14. sinza pazuri

    Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  15. FaizaFoxy

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  16. MTV MBONGO

    Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

    Najiuliza kwanini? Yaani anaweza kuwa mwaminifu mwanzoni, ukampa Kila kitu na bado wanapigwa na watu. KULIKONI?
  17. The Palm Beach

    Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
Back
Top Bottom