fixed account

In accounting and economics, fixed costs, also known as indirect costs or overhead costs, are business expenses that are not dependent on the level of goods or services produced by the business. They tend to be recurring, such as interest or rents being paid per month. This is in contrast to variable costs, which are volume-related (and are paid per quantity produced) and unknown at the beginning of the accounting year.
For example, a retailer must pay rent and utility bills irrespective of sales. As another example, for a bakery the monthly rent and phone line are fixed costs, irrespective of how much bread is produced and sold; on the other hand, the wages are variable costs, as more workers would need to be hired for the production to increase.
Fixed cost are considered an entry barrier for new entrepreneurs. In marketing, it is necessary to know how costs divide between variable and fixed costs. This distinction is crucial in forecasting the earnings generated by various changes in unit sales and thus the financial impact of proposed marketing campaigns. In a survey of nearly 200 senior marketing managers, 60 percent responded that they found the "variable and fixed costs" metric very useful.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  2. K

    Naweza kukopa pesa kwa kutumia fixed account?

    Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu. Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki iliyopita nilitaka kuitoa kwasababu muda wake wa kukaa kwenye hiyo account umeisha. Kuna rafiki yangu...
  3. GoldDhahabu

    Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  4. U

    Mliowahi weka fedha kwenye "Fixed account" naomba mnielimishe hapa

    Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu! Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri! Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo! Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
  5. L

    Kuwekeza, Kutunza pesa, Uhuru wa kifedha

    Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae. Tunashauri mtu afate njia ya...
  6. M

    Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Account?

    Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Bank Accounts, faida zake na benki gani inatoa interest nzuri. Je ni nyakati gani unaweza kufaidika zaidi. Funguka kwa faida ya wengi 👇🏽 #Ibua #NawezaNafanyaNashinda Mchango wa mdau
  7. Vesper-valens

    Fixed account NMB Tanzania

    Habari wakuu, Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka. Asanteni.
  8. SAWEBOY

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Wakuu wana JF, Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank, NBC limited au NMB, kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up to 2.1 mil. Hii ina maana kuwa kwa muda wa mwaka 1, yaani 12 months unakuwa umepata faida ya...
Back
Top Bottom