walimu

  1. Prof_rutta22

    Matumizi ya mfumo wa Bemis kwa walimu wakuu

    Habari njema kwa wakuu wote wa shule nchi nzima katika wakati huu Dodoma ITech company tumekuja na huduma ya mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Bemis School Information System(SIS) na technical support pia data entry masaa 24 wasaliana nasi whatssap DODOMA ITECH 💻🖱️ simu namba: 0687476872...
  2. Raia Fulani

    Walimu wa leo wana kipi cha kujivunia?

    Mada inazungumzia kwa upekee uandishi na matamshi ya lugha ya kiswahili. Kingereza si lugha yetu hivyo sitalaumu sana huko. Ukiwasikiliza vijana wengi sasa unagundua hawajui hata hicho kiswahili kinachoongewa kila siku. Nakumbuka shule ya msingi tulisoma "imla". Kwa kingereza ni dictation...
  3. A

    DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  4. Pfizer

    Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma. Akieleza Naibu Waziri Kikwete amesema kuwa baada ya uhakiki wa taarifa za walimu ilibainika kuwa Walimu...
  5. Mpwayungu Village

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata...
  6. Mpwayungu Village

    Walimu wa nchi hii wanahitaji maombi

    Hawa watu Kuna mda huwa nawaza nasema sio kitu cha kawaida, yani hawana posho yoyote ile katikati ya mwenzi na mshahara wenyewe ni mdogo ivi wanaishijeee? Mbaya zaidi wamekuwa watumwa kwenye kazi zao. Ni watu wa ndio tuu ndio mana Kila mtu mitaani anasema bora niwe bodaboda kuliko kuwa mwalimu...
  7. Mtemi mpambalioto

    Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  8. Edsger wybe Dijkstra

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee! Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Wanafunzi na walimu ni kama maadui

    Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena" Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani. Hilo nikamtuma wife akaongee na mwalimu aliyefanya huo ujinga likaisha. That was January. Maisha ya shule huyu...
  10. HaMachiach

    Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
  11. Lady Whistledown

    Geita: Walimu washtakiwa kwa Kughushi malipo ya Tsh. Milioni 1.5

    Machi 18, 2024, shauri la Rushwa na Uhujumu Uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Mhe. Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbogwe dhidi ya:- 1. Ambakisye Amani Mfwango ambaye ni Mwalimu Mkuu; 2. Beatrice David Musiba ambaye ni Mwalimu wa Kawaida wote wa...
  12. tpaul

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari. Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na...
  13. M

    CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  14. B

    Serikali ianzishe posho ya walimu ili kudumisha uzalendo kwa kizazi cha Watanzania

    Watoto wa Kitanzania wanafundishwa na walimu wenye msongo mwingi wa mawazo kwa kufanya kazi huku wakiwaza future ya maisha yao. Watoto hawawezi kuja kuwa wazalendo nchi hii kwa sababu, walimu ambao ndio role model wao (kwa sababu wanakao nao muda mrefu wa makuzi yao) muda wote wanailamu...
  15. Mtemi mpambalioto

    Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa! Halafu kuna...
  16. DodomaTZ

    Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  17. M

    Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  18. Adharusi

    Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu

    Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A. Wito huo umetolewa na...
  20. TODAYS

    Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
Back
Top Bottom