wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. TZ-1

    Fursa kwa wadada kufanya huduma ya kukata kucha

    Habari wadau, Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya Kukata. Sasa wakati nikiwa nimekaa eneo la lunch nikiwa nasubri mdudu ¼ na ugali nikaziona tena ila wazo...
  2. Equation x

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Nimekuwa kwenye mahusiano kwa sampuli mbali mbali, iliyopelekea mpaka wengine kutengeneza familia. Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa...
  3. Moto wa volcano

    Kuna wadada wana majaribu; Unapigaje simu ya biashara saa 7 usiku!

    Kuna wa Dada wanamajaribu SMH Hivi kweli mtu anakupigia simu ya biashara saa 7 usiku ? imekaaje hiyo
  4. Mpwayungu Village

    Nilipopanga Kuna wadada mda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko, hatulali Wapo kama watatu hivi sijui ni matapeli wa mitandao mm sielew, mda wote...
  5. Mpwayungu Village

    Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko, hatulali. Wapo kama watatu hivi sijui ni matapeli wa mitandao mm sielew, mda wote...
  6. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa shobo zangu nikamwambia “ugali huo utashiba?” Nikamuuliza kama mara tatu lakini akafanya kama...
  7. Makamura

    Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

    Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao. Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM. Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa...
  8. sanalii

    Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

    Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana. Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi. Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni...
  9. M

    Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Habari wadau. ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako. Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao. Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
  10. mwaibile

    Wadada mnashauriwa huku

    Kuji brand muhimu
  11. Balqior

    Baadhi ya wadada kwakweli mnajua jinsi ya kutupa mfadhaiko sisi wanaume

    Za asubuhi Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo...
  12. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
  13. Balqior

    Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

    Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza...
  14. Carlos The Jackal

    Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
  15. Balqior

    Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  16. Joannah

    Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

    Kwema? Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package. Kuna wale...
  17. Balqior

    Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  18. Execute

    Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  20. Unique Flower

    Wadada wa humu niacheni

    Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta, niacheni. Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu. Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia. Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID na nitabakia na ID yangu na mtakereka sana na ID...
Back
Top Bottom