kazini

  1. RUKUKU BOY

    Ushawai kufanya interview vibaya lakini Bado ukaitwa kazini

    Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini. Je, ushawai kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini je...
  2. Moto wa volcano

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee. Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika. Naomba msamaha kwa...
  3. A

    KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
  4. SteveJr99

    Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
  5. Teslarati

    MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  6. S

    Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  7. kavulata

    Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

    Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4
  8. Daydream

    Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  10. Erythrocyte

    Baada ya Rais kuangukia pua Mahakamani huyu DC atarejeshwa Kazini ?

    Hapa sasa ndio tutaelewa kama Mahakama ina nguvu kweli au ni porojo tu .
  11. MIXOLOGIST

    Kuna ile siku ambayo unaenda kazini halafu kichwa hakina ushirikiano na wewe

    Mazee Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi Suluhisho: Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa uishe Suluhisho hili weka mbali na watoto au wale wafanyakazi walioajiriwa
  12. J

    Aweso aelekeza mkandarasi eneo la chanzo cha maji Ruangwa kuripoti kazini, aridhishwa na ujenzi wa tenki

    AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao. Aidha...
  13. BICHWA KOMWE -

    Madaktari kuchati kazini: Ongezeko la machekibobu

    Japo madaktari wote ni makasuku wanaomeza madesa ya shule na kuyakariri jinsi yalivyo, lakini mnyonge mnyongeni, nchi hii walikuwepo madaktari bwana! Kuna madaktari ukiwaambia naumwa kichwa anakimbilia kukudunga chanjo ya FANSIDA, sijui ni kukariri ama ndivyo walivyofundishwa huko mashuleni...
  14. BARD AI

    Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  15. Richard

    Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
  16. MTV MBONGO

    Natoa Siri kwa wanaume: ukitaka kumjua mume mwenza, nenda kazini kwa mkeo angalia wanaofanana na wanao

    Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa. Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao...
  17. kavulata

    Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi...
  18. F

    Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto. Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini. Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return...
  20. Balqior

    Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
Back
Top Bottom