Kuna ile siku ambayo unaenda kazini halafu kichwa hakina ushirikiano na wewe

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,480
Mazee

Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi

Suluhisho:

Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa uishe

Suluhisho hili weka mbali na watoto au wale wafanyakazi walioajiriwa
 
Kuajiriwa na kujiajiri ni mindsets tu za Watu, kiuhalisia wote ni Watumishi/Watumwa halali kwa Watu wengine kikazi ili kupata riziki.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom