Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,315
12,614
Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi kutoka kwa wanaume. Nilikwenda nje ya nchi kusoma pamoja na wanafunzi wengine wa kike, tulikuwa tunapewa wote pesa ya kujikimu (stipend) kila mwezi, lakini baada ya kulipwa wanafunzi wa kike wanataka uwape hela yako pia kusaidia hiki na kile. Hali hii inawafanya wanaume wajiingize kwenye rushwa, wizi, na uhalifu mwingine au kufanyakazi zaidi za ziada na hatarishi kuliko wanawake ili kuziba pengo linaloporwa na wanawake.

Hali hii inashangaza sana wanaume wengi, sio mimi tu lakini dunia nzima. Hata ulaya na marekani nimeikuta hali hii pia. Kule Marekani hata leo hii kwa kazi hiyohiyo mwanaume huwa analipwa zaidi kuliko mwanamke, nikawauliza kwanini wanawake wenye sifa sawa (elimu, ujuzi) za kazi walipwe pungufu kuliko wanaume? Professor wangu akanijibu kuwa wanawake huwa wanafidiwa na wanaume kwa njia mbalimbali, hivyo ili kupunguza uhalifu kazini wanaume wanalipwa zaidi kuliko wanawake.

Hapa Tanzania, mwalimu analipwa shilingi ngapi kwa mwezi? je, pesa hiyo anayolipwa inamfikisha mwisho wa mwezi? kama haimfikishi anatoa wapi pesa ya ziada? Jibu ni kwamba, wafanyakazi wa kike wanafika mwisho wa mwezi kwa kuwategemea wanaume wao na wanaume wao wanafika mwisho wa mwezi kwa wizi, rushwa, ufisadi au kufanyakazi za ziada. Hii ni sawa na kusema wanaume wanaumia zaidi, ni wezi zaidi, ni wala rushwa zaidi na hawafanyi kazi za mwajili wao zaidi kuliko wanawake. Kwa njia nyingine wanawake ni waaminifu zaidi kazini na ni wachapakazi zaidi kuliko wanaume makazini. Mwl wa kike anaeuza karanga na pipi darasani amekosa mwanaume wa kumfidia alichopungukiwa.

Wanaume walipwe zaidi kazini kama tunataka kuzuia rushwa, wizi, ufisadi na kuboresha uchapakazi mahali pa kazi. Vinginevyo polisi wa kiume hata ufanye nini atajiingiza kwenye vitendo vinavyokatazwa na mafundisho ya kazi yake tu hata umfanyeje. Ni upuuzi kuacha kula rushwa wakati hujui watoto watakula nini, watasomaje, watavaaje, na mkeo atakuomba nini umsaidie.
 
Tulidhike na kile tunachopata.
 
changamoto hawatoi matumizi lakini hawana maendeleo sijui kwanini?
pesa yao nyingi inatumika kusaidia watu wa kwao na kurubuni/kufitinisha watoto dhidi ya baba yao. Anataka watoto wajue kwamba kazi ya kuwatunza ni ya baba pekee. Kama akinunua nyama anahakikisha kuwa watoto wanajua kuwa baba hakutoa hela ya chakula, hela ya ada, hela ya kununua nyama, nk
 
Kitu nashangaa hawa wanawake hata hapa bongo wapo wanaopata pesa labda wabunge au wanafanya kazi mpaka nje ya nchi ,pamoja na wingi wao ila hawana maendeleo kuanzia kuwa mabillionea .

Utasikia wanawake wapambanaji ila hamna cha maana na wala maendeleo hayaonekani zaidi ya nyodo tu.
 
umaskini na hali duni ya kipato unapelekesha puta wake kwa waume wanapambania usawa dah, vita kali sana hii
 
Back
Top Bottom