Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Hello!

Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.

Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa.

Turudi kwenye mada.

Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa kachumbari hawaliki. Binti akipiga chenga anampa safari mchezo umekwisha.

Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua.

Mke anayeshinda nyumbani na kuwa busy mazingira ya kujengewa ili atafunwe si makubwa kulinganisha na hawa wafanyakazi.

Eti oooh mke wangu anafanya kazi kusaidiana majukumu, yaani umefilisika mpaka unataka usaidiwe na mke wako 😭😭😭. Hapo sijazungumzia ile relationship ya kawaida na watumishi wenzake. Mchawi lunch, nauli, na tuzawadi tudogo tudogo tu.

Najua inawauma, mutakuja hapa kujitetea oooh hata mama wa nyumbani analiwa na bodaboda, shamba boy. Nimewachana leo.

Mke wako anajiandaa asubuhi mapema akatolewe lock na boss mtoto.

Unamjua boss mtoto wewe?
Ni mkuu wa kitengo.
Kuna watu ambao nimewapiga na kitu kizito kichwani watakuja kujitetea ooohh umalaya ni tabia ya mtu binafsi.
Sawa basi tuseme hivi wake zenu sio malaya ila wanawake waliajiriwa ni malaya.
 
Kwa hali ya sasa, hakuna mahali salama, kuwa iddle kutwa nzima ni hatari na kushinda ofisini akikonyezwa na boss kutwa nzima nayo ni risk, muhimu mjue vizuri mwanamke kabla hujamuoa, mmiliki, mtawale mdhibiti. Kama ukitimiza majukumu yako na bado akaliwa then shida iko hata umpeleke ukweni ataliwa tu.

Ukikamata msaliti ndoa iishie hapo, tupange malezi shirikishi na kulana kimasihara basi, abebe aibu yake ya kuachika kisa umalaya.
 
Tatizo ni Umaskini wa Jamii.
Kiasili Mwanamke haipaswi kufanya kazi katika shilika la nje ya familia.
Namaamisha Mke anatakiwa kufanya kazi inayomilikiwa na mumewe.

Ndio maana huwaoni wake za Matajiri katika ofisi za umma au Binafsi.

Kingine Wanawake ambao hawakupata waume, wana hitaji kujitegemea na hivyo kujikuta walifanya kazi maofisini.

Na kwakuwa wanaume wa Kizazi hiki wanachelewa kuoa mke kwa kujiandaa kimasomo na kiuchumi, wengi wao wakitaka kuoa mke wanavutiwa kuoa wanaofanya nao kazi au wenye ajira ili kuiinua familia kiuchumi.

Dunia imebadilika kwa sasa, wanaume wanahitaji kuoa wanawake wenye ajira, hayo mambo mengine sio kipaumbele kwa Kizazi cha sasa.
 
Hello!

Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.

Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa.

Turudi kwenye mada.

Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa kachumbari hawaliki.
Binti akipiga chenga anampa safari mchezo umekwisha.

Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua .

Mke anayeshinda nyumbani na kuwa busy mazingira ya kujengewa ili atafunwe si makubwa kulinganisha na hawa wafanyakazi.

Eti oooh mke wangu anafanya kazi kusaidiana majukumu, yaani umefilisika mpaka unataka usaidiwe na mke wako .

Hapo sijazungumzia ile relationship ya kawaida na watumishi wenzake.

Mchawi lunch, nauli, na tuzawadi tudogo tudogo tu.

Najua inawauma , mutakuja hapa kujitetea oooh hata mama wa nyumbani analiwa na bodaboda, shamba boy .
Nimewachana leo.

Mke wako anajiandaa asubuhi mapema akatolewe lock na boss mtoto.

Unamjua boss mtoto wewe?

Ni mkuu wa kitengo
Vivyo hivyo mume wa mtu anakwenda mlala mfanyakazi mwenzie leo! Hivyo wote wasiende ofisini, wabaki nyumbani wakifugana, windana!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
kwa hali ya sasa, hakuna mahali salama, kuwa iddle kutwa nzima ni hatari na kushinda ofisini akikonyezwa na boss kutwa nzima nayo ni risk, muhimu mjue vizuri mwanamke kabla hujamuoa, mmiliki, mtawale mdhibiti... kama ukitimiza majukumu yako na bado akaliwa then shida iko hata umpeleke ukweni ataliwa tu.
ukikamata msaliti ndoa iishie hapo, tupange malezi shirikishi na kulana kimasihara basi, abebe aibu yake ya kuachika kisa umalaya
Mpaka kufikia hapa uzi sasa ufungwe!
 
Hello!

Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.

Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa.

Turudi kwenye mada.

Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa kachumbari hawaliki.
Binti akipiga chenga anampa safari mchezo umekwisha.

Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua .

Mke anayeshinda nyumbani na kuwa busy mazingira ya kujengewa ili atafunwe si makubwa kulinganisha na hawa wafanyakazi.

Eti oooh mke wangu anafanya kazi kusaidiana majukumu, yaani umefilisika mpaka unataka usaidiwe na mke wako .

Hapo sijazungumzia ile relationship ya kawaida na watumishi wenzake.

Mchawi lunch, nauli, na tuzawadi tudogo tudogo tu.

Najua inawauma , mutakuja hapa kujitetea oooh hata mama wa nyumbani analiwa na bodaboda, shamba boy .
Nimewachana leo.

Mke wako anajiandaa asubuhi mapema akatolewe lock na boss mtoto.

Unamjua boss mtoto wewe?

Ni mkuu wa kitengo

One man down!!!!! Ushabamizwa na shemeji tayari...... wewe umeowa kahaba kwanini asiliwe
 
Tatizo ni Umaskini wa Jamii.
Kiasili Mwanamke haipaswi kufanya kazi katika shilika la mje ya familia.
Namaamisha Mke anatakiwa kufanya kazi inayomilikiwa na mumewe.

Ndio maana huwaoni wake za Matajiri katika ofisi za umma au Binafsi.

Kingine Wanawake ambao hawakupata waume, wana hitaji kujitegemea na hivyo kujikuta walifanya kazi maofisini.

Na kwakuwa wanaume wa Kizazi hiki wanachelewa kuoa mke kwa kujiandaa kimasomo na kiuchumi, wengi wao wakitaka kuoa mke wanavutiwa kuoa wanaofanya nao kazi au wenye ajira ili kuiinua familia kiuchumi.

Dunia imebadilika kwa sasa, wanaume wanahitaji kuoa wanawake wenye ajira, hayo mambo mengine sio kipaumbele kwa Kizazi cha sasa.
Kuna vitu hamjavifatilia kwa undani zaidi, hapo kuna dosari zinaanzia katika malezi na kuiga umagharibi, ila kiukweli Kuna mambo hayaathiriwi na wakati. Miongoni mwa mambo hayo ni majukumu ya mwanamke na mwanaume. Unapo ona athari hasi katika jambo husika ujue umeenda kinyume na uhalisia, uhalisia ambao ni wakati wenyewe sasa na uliopo sasa.

Mimi na umasikini wangu nilio nao, wake zangu hawafanyi kazi na hawatofanya kazi.
 
Ukishaoa ama kuolewa ishu ya kufanya mapenzi inakuwa ni kitu cha kawaida tu.

Ukikuta mke wa mtu anaugawa mchezo uko kazini kwake uyo atakua ni malaya tu aliestirika na ndoa.
 
Kuna vitu hamjavifatilia kwa undani zaidi, hapo kuna dosari zinaanzia katika malezi na kuiga umagharibi, ila kiukweli Kuna mambo hayaathiriwi na wakati. Miongoni mwa mambo hayo ni majukumu ya mwanamke na mwanaume. Unapo ona athari hasi katika jambo husika ujue umeenda kinyume na uhalisia, uhalisia ambao ni wakati wenyewe sasa na uliopo sasa.

Mimi na umasikini wangu nilio nao, wake zangu hawafanyi kazi na hawatofanya kazi.
Kwa mazingira ya kibongo bongo mke aliyoko nyumban na kazin hawana tofaut yoyote.

Kwa sababu unakuta umepanga chumba majirani zako ni wale ambao hawajaoa ni vijana na ni wahuni tu wa mtaani kwa mazingira ayo ndo unataka kusema mkeo yupo salama kwa kuwa yupo nyumban?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom